Waziri Mkuu aokoa mamilioni, atembea kwa miguu kwenda ofisini

Wewe ni mpumbavu sana, kajifunze jinsi ya kuandika na kutamka maneno!
Sihitaji mjadala na wewe mpuuzi, sawa..?
Eti nataka kujua matumizi wakati fedha haijatumika eti nawewe unajiweka kundi la walipa kodi???
 
You mean, PM ame save buku tu. Oooh ame save Elfu moja tu!!!!!!
Very interesting...
 
Punguza povu kidogo mkuu.Hizi chuki zisizokua na mantiki zinaleta matatizo ya moyo
Umekasirika majaliwa kutembea kwa miguu?
Umekasirika hakuna kilichookolewa?
Au tu hukuipenda habari kutangazwa
 
Atembee kila siku kuokoa matrilioni basi. Mita 200 tu imekuwa nongwa.
 
Wameokoa mil ngapi kwa huo umbali?..mambo ya kijinga nchi hii yanapewa nafasi sana!!..wao waseme ukweli tu kwamba farasi wamempanda kinyume..hali ni mbaya...
kwa maskini shilingi anayokoa kwenye matumizi kwake haina maana lakini kwa tajiri kila shilingi INA maana sana akiokoa hata shilingi moja hujisikia vizuri.sio ajabu ndio maana kuna maskini wengi wewe ukiwemo sababu hujali thamani hata ya shilingi moja iliyookolewa kwa waziri mkuu kutembea kwa miguu.ulofa wako hauji kukutoka hadi uje ujue thamani ya shilingi hata moja
 
Mwalimu Nyerere alikuwa binadamu huenda wa tofauti sana.Alilima mpaka mashamba akiwa Rais alipokuwa akienda butiama.Leo mtu kutembea umbali wa viwanja viwili vya mpira ni jambo kuu.
 
Punguza povu kidogo mkuu.Hizi chuki zisizokua na mantiki zinaleta matatizo ya moyo
Umekasirika majaliwa kutembea kwa miguu?
Umekasirika hakuna kilichookolewa?
Au tu hukuipenda habari kutangazwa
Nikipunguza povu nguo hazitatakata BTW jaribu kusoma tena kwa makini nilichoandika
 
Huu upuuzi wa kiki za kipuuzi sijui utatufikisha wapi.sasa matumizi yaliyobanwa hapo ni kiasi gani !!??

Pinda alikuwa anatembea kwa miguu mji wote wa mpanda huku akitafuna mahindi ya kuchoma akidhani ndio kitu watanzania wanahitaji kukiona lakini aliishia kupoteza mvuto kwa kuwa watu wanataka maendeleo na si maigizo.period
 
Punguza povu kidogo mkuu.Hizi chuki zisizokua na mantiki zinaleta matatizo ya moyo
Umekasirika majaliwa kutembea kwa miguu?
Umekasirika hakuna kilichookolewa?
Au tu hukuipenda habari kutangazwa
 
Kuna wakati Mh. Sumaye akiwa Waziri Mkuu pia aliwahi kutembea kutoka hapo Ofisini kwake hadi nyumbani kwake, ni karibu mno...so mi nafikiri ni sahihi kufanya zoezi kunyoosha miguu na labda kijua cha asubuhi kilimvutia, lakini ni uwendawazimu wa kimagufuligufuli na kimakondakonda kusema ameokoa mamilioni ya shilingi!
 
Ameokoa kiasi gani? acha mbwembwe
...Mita 200 "yameokolewa" MAMILIONI...Ni Kiasi GANI "kinapotea" Pale Magari 6, yanapomupeleka JNIA akiwa anaelekea Dodoma, kisha "kukata mbuga" chini kwa chini "kumufwata" huko, "kumuhudumia" na kisha, baada ya kumpeleka tena Uwanjani, "yanachanja" mbuga kurudi Sadalamu....?
 
Sifa za kijinga
 
leo katembea kwa mguu mita 200 kesho inakodishwa ndege kumpeleka dar na baada ya siku mbili inamrudisha dom kweli tunabana matumizi
 
Eti mita 200? Kwa hiyo wao huwa wanatembea mita ngapi kwa siku?sifa za kijinga hizi
 
Mita 200 ni kama uwanja wa mpira mara mbili... [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…