MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
PM yuko sahihi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mleu cho ni rhakoIyo matulu .
Ipo namna inafanyika na wanapandishwa mara nyingi tu.Sasa sie walemavu tunaotaka kufika kileleni mnatuangaliaje
Ajaeleweshwa vizuriPM yuko sahihi.
Hata mimi nimeshindwa kumuelewa, maybe he is misinformed... ona hii cable hapa [emoji116]View attachment 2132980
PM aelimishwe
Unatamani sana kuwa mchaga ila basi tuu.Wachaga wana mambo ya kizamani sana!
JK mwenyewe tena akiwa mheshimiwa sana tumepanda nae pale The Great Wall aka ukuta mkuu wa China kwa Cable car aka viberenge pale Uchina. Na wakati ni ka safari ka saa kadhaa tu kutegemea na njia uliyoingilia. Majaliwa anawaza uchumi wa wapagazi aisee
Mimi ni mrombo!Unatamani sana kuwa mchaga ila basi tuu.
KigwangalaWanaopendekeza watu wapande kwa viberenge hawana akili
hakuna namna zaidi ya kubebwa na wagumuIpo namna inafanyika na wanapandishwa mara nyingi tu.
PM aelimishwe
Ingependeza tupate a detailed report ya athari yake - evolution haizuiliki hasa Kwa era hii ya digitaliPM yuko sahihi.
Yan hili jamaa lilitakiwa liondoke na Mwendazake, bado lina akili za kujifukiza hovyo kweli yanWaziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wadau wanaopendekeza matumizi ya viberenge katika kupanda Mlima Kilimanjaro kutathimini kwa kina mpango huo ambapo ameonyesha kutoridhia mikakati hiyo.
"Nasikia mnataka kuweka kiberenge cha kupanda Mlima Kilimanjaro, mnataka kuua mlima? Mkiweka machuma ya kupanda mlima mtaharibu, nataka mje mseme wapagazi mtawapeleka wapi na hizo ndiyo ajira zao, endeleeni kulijadili hilo mje na sababu zilizo tosha,” amesema Waziri Mkuu.
Ameyasema hayo katika hotuba yake aliyoitoa akiwa Chuo Cha Ushirika Moshi katika kilele cha mbio za Kilimanjaro Marathon mkoani Kilimanjaro, leo Jumapili Februari 27, 2022 alipokuwa mgeni rasmi.
Majaliwa na Dr Mpango wana akili za Magufuli za kujifukiza, huyu na akina Kabudi walitakiwa waondoke serikalini siku Magu alipokufa, hovyo kweli aiseeSasa kama na yeye ameshalishwa matango pori na wasaidizi wake, ataelewa kweli?
Binafsi sijaona kabisa logic ya kulazimisha kupanda huo mlima kwa miguu, eti kisa kuna wapagazi sijui watakosa ajira!!! Kwani hao wapagazi hawawezi kufanya kazi nyingine, isipokuwa kubeba tu mizigo ya watalii?
Wangeweka options mbili. Ya kupanda kwa miguu, na hiyo ya kupanda kwa hivyo viberenge vya umeme. Masuala ya kulazimishana kupanda kwa miguu hayakubaliki hata kidogo kwenye dunia hii ya sasa ya sayansi na teknolojia.