Waziri Mkuu auponda mpango wa kutumia viberenge kupanda Mlima Kilimanjaro

Waziri Mkuu auponda mpango wa kutumia viberenge kupanda Mlima Kilimanjaro

hivyo viberenge vina faida sawa hatukatai lakini faida zake na hasara zake hazilingani

Faida ni ndogo kuliko Hasara, pm akomae kuhakikisha no viberenge milimani,watu wapande

kwa miguu TU . Lazima sio ombi na liwekwe hvyo kuingiza utandawazi kwenye natural assets ndio

mwisho wa siku kutakuja leta madhara na majanga,ule ni Mlima na wala sio Ghorofa la posta linalotaka Lift

anae enda kule ajue kabisa anaenda Mlimani na wala haendi kupanda Ghorofa za kule Posta zenye Lift.
 
Ingependeza tupate a detailed report ya athari yake - evolution haizuiliki hasa Kwa era hii ya digitali

Watanzania tumekua too emotional sometimes

I am sure pm is right, lakini natamani tupate detailed reports
Huo udigitali ndo chanzo cha mikataba mingi ya ovyo kwenye madini na mambo mengine mengi. Kuanza kuweka hayo mambo mnayotaka ni kuanza kuleta uharibifu kwa maliasili zetu bila sababu. Hakuna tofauti na kuweka lami serengeti. Mbuga ziachwe zilivyo.
 
Kabisaa.
Yani safari ya siku 8 ifanyike kwa 1 hour mlima utachukuliwa poa kama kichuguu tu na hautakua na value tena coz safari ya usd 2500 itafanyika kwa usd 100.
Safari ambayo ingewahusisha wafanyakazi 12 itakua inachukua mfanyakazi 1 tu.

Mkuu kwenda Mwanza kwa ndege kutoja hapa Dar ni 1hr, ila kuna watu wanasafiri kwa bus zaidi ya masaa 10. Bei ya kiberenge itakuwa juu sana ili kulinda ajira za wapanda kwa miguu.
 
Aache ushamba , teknolojia inazidi kukua , kwanini asikatae magari na simu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti machuma chuma
 
Huo udigitali ndo chanzo cha mikataba mingi ya ovyo kwenye madini na mambo mengine mengi. Kuanza kuweka hayo mambo mnayotaka ni kuanza kuleta uharibifu kwa maliasili zetu bila sababu. Hakuna tofauti na kuweka lami serengeti. Mbuga ziachwe zilivyo.
Ni Kweli kabisa ndugu yangu

Unfortunately, kuna Waikati hata Punda, ng’ombe na Farasi were means of transport

Tunatakaa treni ili malori yaendelee nk

Things will change and those porters will do better
 
Naona unataka uwe mpagazi maisha yako yote!
Sasa nitaongea nini na choko kama wewe ambae mlima Kilimanjaro unauonaga kwenye picha. Hujawahi kupanda hata mara moja kwenye maisha yako yote!🚮🚮🚮
 
Hivyo viberenge haviwezi kukupandisha umbali wa mita 2000 kutoka ardhini. Probably vitaishia tu umbali wa km 1-1.5 kuendelea itapidi upande kwa miguu
 
Yupo sahihi, kwa nini mpande kwa viberenge, kwani lazima kupanda kama huwezi...
 
Sasa nitaongea nini na choko kama wewe ambae mlima Kilimanjaro unauonaga kwenye picha. Hujawahi kupanda hata mara moja kwenye maisha yako yote!🚮🚮🚮

Siku zote silaha na utajiri wa maskini ni matusi. Na utakufa ukiwa mpagazi. Maana hakuna namna. Wenye hela tunasubiri hivyo viberenge vya umeme vianze ili tuje kutalii.
 
Kabisaa.
Yani safari ya siku 8 ifanyike kwa 1 hour mlima utachukuliwa poa kama kichuguu tu na hautakua na value tena coz safari ya usd 2500 itafanyika kwa usd 100.
Safari ambayo ingewahusisha wafanyakazi 12 itakua inachukua mfanyakazi 1 tu.
Mkuu umetisha, tunataka ufafanuzi kama huu. Kongole GT.
 
hivyo viberenge vina faida sawa hatukatai lakini faida zake na hasara zake hazilingani

Faida ni ndogo kuliko Hasara, pm akomae kuhakikisha no viberenge milimani,watu wapande

kwa miguu TU . Lazima sio ombi na liwekwe hvyo kuingiza utandawazi kwenye natural assets ndio

mwisho wa siku kutakuja leta madhara na majanga,ule ni Mlima na wala sio Ghorofa la posta linalotaka Lift

anae enda kule ajue kabisa anaenda Mlimani na wala haendi kupanda Ghorofa za kule Posta zenye Lift.
Aisee, yaani dunia hii ghorofa lenye lift ni la posta!!!
Sijui nchi gani yenye lift kwenye ghorofa la posta!
 
Mkuu kwenda Mwanza kwa ndege kutoja hapa Dar ni 1hr, ila kuna watu wanasafiri kwa bus zaidi ya masaa 10. Bei ya kiberenge itakuwa juu sana ili kulinda ajira za wapanda kwa miguu.
Wewe ndo unampango wa kuweka hicho kiberenge Hadi umeamua utaweka bei juu Sana? Au unashauri bei iwe juu?
 
Kuna kipindi vhama tawala kinakujaga na mawazo fulani ya ovyo ovyo lkn baadae huyatupilia mbali mfano zile ambulance za matairi matatu 😀😀 dah kipindi kile nilikuwa napataga tabu kila nikiwaza izo ambulance za matairi 3.
 
Wanaopendekeza watu wapande kwa viberenge hawana akili
Unaonaje kama ungetumia option za kueleza ubaya wa hivyo viberenge kwa hoja kama wenzako kuliko matusi.
1645972944871.png
 
JK mwenyewe tena akiwa mheshimiwa sana tumepanda nae pale The Great Wall aka ukuta mkuu wa China kwa Cable car aka viberenge pale Uchina. Na wakati ni ka safari ka saa kadhaa tu kutegemea na njia uliyoingilia. Majaliwa anawaza uchumi wa wapagazi aisee
Hao wapagazi ni zaidi ya wapagazi wabeba mizigo tu kwani hufanya burudani nyingi kwa watalii kwenye kempu za mapumziko wakati wa usiku, hizo burudani huwa simulizi kwa watalii.
 
Back
Top Bottom