Hii ndiyo namna sasa.hakuna namna zaidi ya kubebwa na wagumu
Huo udigitali ndo chanzo cha mikataba mingi ya ovyo kwenye madini na mambo mengine mengi. Kuanza kuweka hayo mambo mnayotaka ni kuanza kuleta uharibifu kwa maliasili zetu bila sababu. Hakuna tofauti na kuweka lami serengeti. Mbuga ziachwe zilivyo.Ingependeza tupate a detailed report ya athari yake - evolution haizuiliki hasa Kwa era hii ya digitali
Watanzania tumekua too emotional sometimes
I am sure pm is right, lakini natamani tupate detailed reports
Kabisaa.
Yani safari ya siku 8 ifanyike kwa 1 hour mlima utachukuliwa poa kama kichuguu tu na hautakua na value tena coz safari ya usd 2500 itafanyika kwa usd 100.
Safari ambayo ingewahusisha wafanyakazi 12 itakua inachukua mfanyakazi 1 tu.
Ni Kweli kabisa ndugu yanguHuo udigitali ndo chanzo cha mikataba mingi ya ovyo kwenye madini na mambo mengine mengi. Kuanza kuweka hayo mambo mnayotaka ni kuanza kuleta uharibifu kwa maliasili zetu bila sababu. Hakuna tofauti na kuweka lami serengeti. Mbuga ziachwe zilivyo.
Sasa nitaongea nini na choko kama wewe ambae mlima Kilimanjaro unauonaga kwenye picha. Hujawahi kupanda hata mara moja kwenye maisha yako yote!🚮🚮🚮Naona unataka uwe mpagazi maisha yako yote!
Sasa nitaongea nini na choko kama wewe ambae mlima Kilimanjaro unauonaga kwenye picha. Hujawahi kupanda hata mara moja kwenye maisha yako yote!🚮🚮🚮
Wachaga wanahusikaje na hii mada?.....Wachaga wana mambo ya kizamani sana!
Mkuu umetisha, tunataka ufafanuzi kama huu. Kongole GT.Kabisaa.
Yani safari ya siku 8 ifanyike kwa 1 hour mlima utachukuliwa poa kama kichuguu tu na hautakua na value tena coz safari ya usd 2500 itafanyika kwa usd 100.
Safari ambayo ingewahusisha wafanyakazi 12 itakua inachukua mfanyakazi 1 tu.
Ajira hiyo, nadhani kubeba huyo mtu ujira mwingine huo.hakuna namna zaidi ya kubebwa na wagumu
Aisee, yaani dunia hii ghorofa lenye lift ni la posta!!!hivyo viberenge vina faida sawa hatukatai lakini faida zake na hasara zake hazilingani
Faida ni ndogo kuliko Hasara, pm akomae kuhakikisha no viberenge milimani,watu wapande
kwa miguu TU . Lazima sio ombi na liwekwe hvyo kuingiza utandawazi kwenye natural assets ndio
mwisho wa siku kutakuja leta madhara na majanga,ule ni Mlima na wala sio Ghorofa la posta linalotaka Lift
anae enda kule ajue kabisa anaenda Mlimani na wala haendi kupanda Ghorofa za kule Posta zenye Lift.
Wewe ndo unampango wa kuweka hicho kiberenge Hadi umeamua utaweka bei juu Sana? Au unashauri bei iwe juu?Mkuu kwenda Mwanza kwa ndege kutoja hapa Dar ni 1hr, ila kuna watu wanasafiri kwa bus zaidi ya masaa 10. Bei ya kiberenge itakuwa juu sana ili kulinda ajira za wapanda kwa miguu.
Labda PM ni mchaga!Wachaga wanahusikaje na hii mada?.....
Unaonaje kama ungetumia option za kueleza ubaya wa hivyo viberenge kwa hoja kama wenzako kuliko matusi.Wanaopendekeza watu wapande kwa viberenge hawana akili
Hao wapagazi ni zaidi ya wapagazi wabeba mizigo tu kwani hufanya burudani nyingi kwa watalii kwenye kempu za mapumziko wakati wa usiku, hizo burudani huwa simulizi kwa watalii.JK mwenyewe tena akiwa mheshimiwa sana tumepanda nae pale The Great Wall aka ukuta mkuu wa China kwa Cable car aka viberenge pale Uchina. Na wakati ni ka safari ka saa kadhaa tu kutegemea na njia uliyoingilia. Majaliwa anawaza uchumi wa wapagazi aisee