Waziri Mkuu auponda mpango wa kutumia viberenge kupanda Mlima Kilimanjaro

Hata mimi nimeshindwa kumuelewa, maybe he is misinformed... ona hii cable hapa [emoji116]View attachment 2132980
itakuwa amepotoshwa,alafu kuhusu ajira kuna mbuga nyingi za wanyama hapa Tz hao wapagazi wanaweza kupelekwa huko na hata ikibidi serikali ijenge viwanda ilivoahidi kwenye kampeni ili hao vijana walio wapagazi wakapeww kazi viwandani huko
 
Huu mradi usitishwe.

Why can't we think straight??

Hivi tuna matatizo gani jamani.
 
Ni Kweli kabisa ndugu yangu

Unfortunately, kuna Waikati hata Punda, ng’ombe na Farasi were means of transport

Tunatakaa treni ili malori yaendelee nk

Things will change and those porters will do better
Kuna mambo mengine muda ukifika yatabadilika bila kulazimisha. Kwa sasa tusilazimishe
 
Kwa sifa za mlima wenyewe, kuna wengi wanaopenda kupanda huko kileleni, lakini wanashindwa kwa sababu mbali mbali. Na wako wanopanda kwa lengo la kufika kilele cha mlima kwa miguu. Nadhani hivyo viberenge ni mradi mzuri utakao ongeza pato la taifa kwenye utalii. Ila hoja kuu hapa nadhani ni namna ya kuendesha mradi wenyewe.
 


Waziri mkuu ni kutokuelewa viberenge ni kwa wale wasio wa uwezo wa kupanda, wazee, vilema, na watu wengine ambao hawana uwezo wa kupanda kule. Hii itaongeza utalii sio kupunguza.
 
Maendeleo yanapoanza pingamizi mbalimbali hutokea
 
Waziri Mkuu yupo sahihi,Utalii wa kupanda mlima Kilimanjaro utakufa.
Wapo wajinga wengi wanachukulia kupanda mlima Kilimanjaro kama ni jambo dogo sana.
Kigwangala on is watch ndio utumbo huo ulipewa baraka.
 
Hata mimi nimeshindwa kumuelewa, maybe he is misinformed... ona hii cable hapa [emoji116]View attachment 2132980

Baba train wanaiba mataruma sasa hapo huoni kuna chuma chakavu baadae cha kuuza
Sisi kazi yetu ni kuharibu tu
Train tumeondoka na feni zote choo bomba zimepigwa
Mabasi mtu anachana seat basi tu
 
Mwisho it seems watu hawazijui hizi cable cars/au viberenge na jinsi vinavyofanya kazi.
Yeye (au wao) aliposikia vberenge akadhani ni kama vinatumika kwenye reli eg. ktk mashamba ya miwa TPC etc.
 
Hata mimi nimeshindwa kumuelewa, maybe he is misinformed... ona hii cable hapa [emoji116]View attachment 2132980
hapo kuna mawili;

1.Anajifanya hajui ni kitu gani yaani anawapiga kamba wapagazi ili watulize wenge,baadae awageuke kwamba ameshaeleweshwa yaani kama ule uongo wa kipindi cha msiba wa taifa kwamba msiba wa Mwenda ulitazamwa na watu Bil 3 sijui

Au

2. Hajui ni kitu gani,kitu ambacho hapa binafsi siamini kabisa kwamba hajui hizi Cable zikoje kwa exposure aliyonayo au kwamba wataalamu wanaomzunguka hawakumweleza, hasa ukizingatia hili suala limeanza kuzungumzwa enzi za JPM waziri akiwa Kigwagwala.
 
Kwa Mimi binafsi nionavyo kitumia hizo kebo ni kushusha hadhi ya mlima Kilimanjaro mlima pekee wenye kilele kilichosimama duniani kama kebo ingekua nzuri Kwa nini hao wazungu wasifunge kwenye mlima evarest? Tuache kushabikia ujinga sio Kila kitu kinafaida mambo ya kebo yatasababisha mpaka mashoga kuona ule mlima ni kichuguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…