Waziri Mkuu haondolewi kirahisi mnavyodhania. Akiondolewa Baraza la Mawaziri linavunjwa lote

Kama hujaelewa sheria ni debate ya kutafsiri na sio scientific liogope hata neno sheria lenyewe....

Mabishano ya mahakamani sio ya katiba ilivyoandikwa ila tafsiri tofauti with different references na cases...

Dont take it personal

Sorry...
 
Rais anaweza kumuondoa waziri mkuu wakati wowote atakaotaka na bila kutoa sababu zozote. Kwa katiba ya nchi hii ni CAG tu katika mhimili wa serikali ambaye hawezi kuondolewa na Rais bila sababu zilizotajwa na katiba.
 
Uko sahihi
 
Kuvunja baraza la mawaziri ni kuvunja serikali iliyopo sio jambo dogo kama unavyodhania.

Ingekuwa ni serikali iliyongia madarakani kihalali hapo sawa. Na kwa taarifa yako hakuna umakini huo huko serekalini, mambo mengi yanafanyika kienyeji sana. Kawatafute wajinga wa kuwahadaa kwa hii porojo yako.
 
Raisi ana uwezo wa kumpa ubunge mjinga yeyote anayemtaka kisha akampa uwaziri...

Ongeza ujuzi boss kwa free...

Nikupe references za waliopewa ubunge na uwaziri?
... waziri mkuu sharti atokane na wabunge wa majimbo; ndivyo isemavyo katiba.
 
Reactions: Ilu
Sasa kwani kuvunja baraza la Mawaziri kuna ugumu gani?
 
Assad,alijisahau yy mwenyewe,badala ya kufanya kazi na kuitumikia serikali,itikadi za chadema zikampoteza. Assad ni bavicha kindakindaki
Don't fool yourself. He is professional. Hafanyi kazi kwa mihemko yule.
 
Ingekuwa ni serikali iliyongia madarakani kihalali hapo sawa. Na kwa taarifa yako hakuna umakini huo huko serekalini, mambo mengi yanafanyika kienyeji sana. Kawatafute wajinga wa kuwahadaa kwa hii porojo yako.
Soma katiba ya JMT ibara ya 57(2)(e) acha ubishi wa kijiweni.
 
Kwani kuna mtu anaondolewa? PM haondolewi ila yeye mwenyewe atang'atuka kwa ridhaa yake na hivyo ndivyo mchezo utakavyomalizia.
 
Wakati Lowasa anajiuzulu madaraka ya uwaziri mkuu ulikuwa haujazaliwa?!!!!
 
kwani kuvunja baraza la mawaziri kuna tatizo au ugumu gani.

Hata juzi limevunjwa wakabadilishwa wizara halafu wakaapishwa tena. Kulikua na Nini cha kutisha.Labda ungezungumzia uhatari wa kumwondoa PM ofisini hapo sawa.

Tafuta kingine cha kuongea
 
kwani kuvunja baraza la mawaziri kuna tatizo au ugumu gani.

Hata juzi limevunjwa wakabadilishwa wizara halafu wakaapishwa tena. Kulikua na Nini cha kutisha.Labda ungezungumzia uhatari wa kumwondoa PM ofisini hapo sawa.

Tafuta kingine cha kuongea
Juzi cabinet haijavunjwa. Ni mabadiliko madogo.
 
Siamini kuwa ukisema hivyo umekosea...

Ila akiamua kufanya hivyo kuna utetezi kwakuwa mambo ya sheria yana room ya mijadala na sio science yenye jibu moja.

By the way hii mambo ya Membe kuwa PM ni joke and none serious.
... sawa boss ila huo ndio ukweli na imekuwa hivyo since Mkapa's error; at least to that extent I can remember.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…