Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,988
Kama hujaelewa sheria ni debate ya kutafsiri na sio scientific liogope hata neno sheria lenyewe....
Mabishano ya mahakamani sio ya katiba ilivyoandikwa ila tafsiri tofauti with different references na cases...
Dont take it personal
Sorry...
Mabishano ya mahakamani sio ya katiba ilivyoandikwa ila tafsiri tofauti with different references na cases...
Dont take it personal
Sorry...
Wewe unaonekana ni mbishi na hupendi kujifunza...huo si usomaji wa sheria, soma kifungu chote. I rest my case [emoji119]
51(2) Mapema iwezekanavyo, na kwa vyovyote vile ndani ya siku kumi na nne, baada ya kushika madaraka yake, Rais atamteua Mbunge wa kuchaguliwa kutoka katika Jimbo la Uchaguzi anayetokana na chama cha siasa chenye Wabunge wengi zaidi Bungeni au kama hakuna chama cha siasa chenye Wabunge wengi zaidi, anayeelekea kuungwa mkono na Wabunge walio wengi kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, naye hatashika madaraka hayo ...
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app