Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Basi anaweza kuondolewa na Rais akatoa tamko ameamua kuendelea na mawaziri wote waliokuwa chini yake.
Unashindana na ibara ya katiba!?Waziri mkuu anaondolewa na Rais kama waziri mwingine yeyote, acha kutishia watu wazima nyau.
Kuna ugumu gani kuvunja baraza la mawaziri labda?
Atateuliwa naibu waziri mkuu kama ilivyokuwa kwa Lyatonga MremaRais anaunda BW kwa kushauriana na PM. Ndiyo maana process ya uteuzi wa PM inakamilika kabla ya mawaziri wengine kuteuliwa. Mtu pekee anayeteuliwa kabla ya PM ni AG ili kuhakikisha Rais anaanza kupata ushauri wa kisheria mapema iwezekanavyo.
Unashindana na ibara ya katiba!?
ama unathibitisha kiwango kikuu cha uzuzu ulichonacho!?
Assad,alijisahau yy mwenyewe,badala ya kufanya kazi na kuitumikia serikali,itikadi za chadema zikampoteza. Assad ni bavicha kindakindaki
😃😃Waziri mkuu anaondolewa na Rais kama waziri mwingine yeyote, acha kutishia watu wazima nyau
Atateuliwa naibu waziri mkuu kama ilivyokuwa kwa Lyatonga Mrema
Spika anapelekewa jina la Waziri Mkuu mpya then anapitishwa hapo ndio unakuwa mwisho wa Namungo wa Mpito.Mnapiga ramli juu ya PM Kassim kuondolewa mnadhania ni rahisi kama mnavyodhania?
Akiondolewa basi mtambue kuwa baraza zima linavunjwa na raisi anateua na kuapisha upya.
Someni ibara ya 57(2)(e) ya katiba ya JMT na muache kukurupuka kupiga ramli za kishamba.
Lowassa alijiuzulu kwa kashfa. Sasa unataka majaliwa ajiuzulu kwa kisa gani? Au ndio wale mnatamani kila magufulist atoke serikali muweza kuondoa woga kabisa kufanya uzembe na kula hela na mali ya umma.Anything can happen, hakuna aliejua lowasa Kuna siku angejiuzulu uwaziri mkuu.
wewe pengine Ni mgeni TzJuzi cabinet haijavunjwa. Ni mabadiliko madogo.