Waziri Mkuu haondolewi kirahisi mnavyodhania. Akiondolewa Baraza la Mawaziri linavunjwa lote

Waziri Mkuu haondolewi kirahisi mnavyodhania. Akiondolewa Baraza la Mawaziri linavunjwa lote

Basi anaweza kuondolewa na Rais akatoa tamko ameamua kuendelea na mawaziri wote waliokuwa chini yake.

Rais anaunda BW kwa kushauriana na PM. Ndiyo maana process ya uteuzi wa PM inakamilika kabla ya mawaziri wengine kuteuliwa. Mtu pekee anayeteuliwa kabla ya PM ni AG ili kuhakikisha Rais anaanza kupata ushauri wa kisheria mapema iwezekanavyo.
 
Kuna ugumu gani kuvunja baraza la mawaziri labda?

BW halivunjwi kwa kujifurahisha. Kama Rais hakusudii kuteua PM mwingine, basi havunji BW. Atashauriana na PM moja kwa moja kuhusu mabadiliko yanayohitajika!
 
Rais anaunda BW kwa kushauriana na PM. Ndiyo maana process ya uteuzi wa PM inakamilika kabla ya mawaziri wengine kuteuliwa. Mtu pekee anayeteuliwa kabla ya PM ni AG ili kuhakikisha Rais anaanza kupata ushauri wa kisheria mapema iwezekanavyo.
Atateuliwa naibu waziri mkuu kama ilivyokuwa kwa Lyatonga Mrema
 
Rais hana nia wala sababu ya kumuondoa waziri mkuu. Akipata sababu atafanya hivyo, watu waache chuki na waziri mkuu haiwasaidii. Pm yuko vizuri na ni mchapa kazi
 
Mnapiga ramli juu ya PM Kassim kuondolewa mnadhania ni rahisi kama mnavyodhania?

Akiondolewa basi mtambue kuwa baraza zima linavunjwa na raisi anateua na kuapisha upya.

Someni ibara ya 57(2)(e) ya katiba ya JMT na muache kukurupuka kupiga ramli za kishamba.
Spika anapelekewa jina la Waziri Mkuu mpya then anapitishwa hapo ndio unakuwa mwisho wa Namungo wa Mpito.
 
Anything can happen, hakuna aliejua lowasa Kuna siku angejiuzulu uwaziri mkuu.
Lowassa alijiuzulu kwa kashfa. Sasa unataka majaliwa ajiuzulu kwa kisa gani? Au ndio wale mnatamani kila magufulist atoke serikali muweza kuondoa woga kabisa kufanya uzembe na kula hela na mali ya umma.
 
Back
Top Bottom