Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Basi anaweza kuondolewa na Rais akatoa tamko ameamua kuendelea na mawaziri wote waliokuwa chini yake.
Rais anaunda BW kwa kushauriana na PM. Ndiyo maana process ya uteuzi wa PM inakamilika kabla ya mawaziri wengine kuteuliwa. Mtu pekee anayeteuliwa kabla ya PM ni AG ili kuhakikisha Rais anaanza kupata ushauri wa kisheria mapema iwezekanavyo.