mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Akiondolewa PM na baraza zima linavunjwa,, ndivyo ilivyo !Waziri mkuu anaondolewa na Rais kama waziri mwingine yeyote, acha kutishia watu wazima nyau.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiondolewa PM na baraza zima linavunjwa,, ndivyo ilivyo !Waziri mkuu anaondolewa na Rais kama waziri mwingine yeyote, acha kutishia watu wazima nyau.
Who is next ??!!Ni Mkapa Tu nafikiri hakuwahi kuvunja hilo Baraza la mawaziri, lakini Nyerere, Mwinyi, JK wote hawakusita kuvunja hayo mabaraza, ndiyo maana tuna orodha ndefu ya mawaziri wakuu, Nyerere, Kawawa, Sokoine, Salim Ahmed Salim, Warioba, Cleopa Msuya, John Malecela, Sumaye, Lowassa, Pinda, now Majaliwa
Sitoshangaa akiwa SALMA KIKWETE🙃 hii nji hii cha Msingi Mimi na familia yangu, tunaenda chooni!Who is next ??!!
Kama kuna wabunge wa kuwasimamia mawaziri, vyeo ambavyo haviko kisheria, ndio itakuwa kumtoa huyo waziri mkuu na kumuweka mwingine? Ingekuwa kuna anayejali gharama hapo sawa.
Kwani Waziri Mkuu hawezi kubadirishwa Wakati wa hiyo unayoiita reshuffle? Kwani Kassim mlimsikia akitoa nasaha pale baada ya mawaziri kuapishwa kama ilivyozoeleka huko nyuma??
KWANI KUAPISHA UPYA KUNATUMIA FEDHA ZA KIGENI MPAKA TUOGOPE?Mnapiga ramli juu ya PM Kassim kuondolewa mnadhania ni rahisi kama mnavyodhania?
Akiondolewa basi mtambue kuwa baraza zima linavunjwa na raisi anateua na kuapisha upya.
Someni ibara ya 57(2)(e) ya katiba ya JMT na muache kukurupuka kupiga ramli za kishamba.
PM hawezi kubadilishwa bila BW kuvunjwa. Hilo ni takwa la Katiba!
Hivi mbona hua mnajifanya watoto?? Membe ni Mbunge wa Jimbo gani la uchaguzi!! Au hujui hata sifa za mtu kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu jombaa
Mnapiga ramli juu ya PM Kassim kuondolewa mnadhania ni rahisi kama mnavyodhania?
Akiondolewa basi mtambue kuwa baraza zima linavunjwa na raisi anateua na kuapisha upya.
Someni ibara ya 57(2)(e) ya katiba ya JMT na muache kukurupuka kupiga ramli za kishamba.
Na ukiweza stop being too serious wenzako tuna have fun...Hivi mbona hua mnajifanya watoto?? Membe ni Mbunge wa Jimbo gani la uchaguzi!! Au hujui hata sifa za mtu kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu jombaa
Wewe una elimu gani ya kubishana na mimi?
Umeambiwa uweke unawatukana, sasa unajionaje wewe kama unaandika na huwezi kuwaonyesha unayopinga!!!
Ni takwa la Katiba Waziri Mkuu atokane na wabunge wa kuchaguliwa kutoka katika jimbo la uchaguzi.Raisi ana uwezo wa kumpa ubunge mjinga yeyote anayemtaka kisha akampa uwaziri...
Ongeza ujuzi boss kwa free...
Nikupe references za waliopewa ubunge na uwaziri?
Ni takwa la Katiba Waziri Mkuu atokane na wabunge wa kuchaguliwa kutoka katika jimbo la uchaguzi.
Ibara ya 51(2) ya Katiba ya JMT.Una kifungu mama?
Na katiba huwa haitumiki TZ
Kwanini nyinyi wabongo kila kitu mnaona ni mchakato?., Rais kuvunja barazala la mawaziri ni chini ya dakika moja tu na kuunda list nyengine nikupelekewa mchapaji list ya majina tu pale ikulu jioni yake inasomwa habari kwisha, watu wanafanya shughuli zaoMnapiga ramli juu ya PM Kassim kuondolewa mnadhania ni rahisi kama mnavyodhania?
Akiondolewa basi mtambue kuwa baraza zima linavunjwa na raisi anateua na kuapisha upya.
Someni ibara ya 57(2)(e) ya katiba ya JMT na muache kukurupuka kupiga ramli za kishamba.
Mnapiga ramli juu ya PM Kassim kuondolewa mnadhania ni rahisi kama mnavyodhania?
Akiondolewa basi mtambue kuwa baraza zima linavunjwa na raisi anateua na kuapisha upya.
Someni ibara ya 57(2)(e) ya katiba ya JMT na muache kukurupuka kupiga ramli za kishamba.
Ibara ya 51(2) ya Katiba ya JMT.
Wewe unaonekana ni mbishi na hupendi kujifunza...huo si usomaji wa sheria, soma kifungu chote. I rest my case [emoji119]51 (2).."mapema iwezekanavyo"...Kipengele hiki kinaongelea uundaji wa serikali mpya baada ya uchaguzi... haina limit yeyote ya mbunge wa kuteuliwa baadae kuwa waziri mkuu...
51(3) (d) inaongelea uteuzi wa mbunge mwingine bila kutaja kutoka jimboni ama chochote hivyo wakuteuliwa has a chance pia...