Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aagiza Wabunge wote waelezwe kinachoendelea Ngorongoro

Kwani wabunge wanaishi nje ya Tz
Kwani habari magazetini social media TV hawafuatilii?
Wafuatilie how
Kama watawala tunao

Serikali inayoongozwa na Rais Samia kwani tuna serikali ngapi?
Mnakera kusifu na kuabudu

Tatueni shida iliyopo sio stori
 
Hakika Rais Samia ameletwa Tanzania kuliponya Taifa,

Kitendo cha kukutana na Tundu Lissu Brussels Ubelgiji ni kiwango cha juu kabisa cha Uzalendo kwa Taifa,

Tumuunge mkono Rais wetu kwa haya kwani anastahili sana,
 
Sawa
 
Sheria ya Ngorongoro imepitwa na wakati lakini Katiba iko kwenye wakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…