MAJALIWA AAGIZA CHENI YA MKE WAKE IUZWE.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameishukuru kampuni ya Tanzanite Forever Lapidary (T) LTD ya mkoani Manyara,kwa kumzawadia mkewe, Mama Mary Majaliwa mkufu wa Tanzanite.
Hata hivyo,Waziri Mkuu ameagiza mkufu huo uuzwe, ili ipatikane fedha,itakayosaidia kujenga bweni la wanafunzi katika moja ya shule zilizopo wilayani Simanjiro.
Waziri Mkuu amehitimisha Ziara yake ya Siku nne, Mkoani Manyara.
Source: Watetezi TV
Huu Ni mfumo dume. Mkufu kapewa Mkewe alafu yeye ndio atanagaze uuzwe? Unafki mwingine bwana!
MAJALIWA AAGIZA CHENI YA MKE WAKE IUZWE.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameishukuru kampuni ya Tanzanite Forever Lapidary (T) LTD ya mkoani Manyara,kwa kumzawadia mkewe, Mama Mary Majaliwa mkufu wa Tanzanite.
Hata hivyo,Waziri Mkuu ameagiza mkufu huo uuzwe, ili ipatikane fedha,itakayosaidia kujenga bweni la wanafunzi katika moja ya shule zilizopo wilayani Simanjiro.
Waziri Mkuu amehitimisha Ziara yake ya Siku nne, Mkoani Manyara.
Source: Watetezi TV
Majaliwa for President !
na huyo mke,alipewa hiyo zawadi kwa mamlaka ipi!!, Unamhonga mke wa mtu live,si dharau hizi!!!kweli Hatuna maadaili:
1. Cheni Ni ya mke
2. Hajafikisha zawadi
3. Anaigawa
Kwa mamlaka ipi?
bila shaka utakuwa KEHuu Ni mfumo dume. Mkufu kapewa Mkewe alafu yeye ndio atanagaze uuzwe? Unafki mwingine bwana!
na huyo mke,alipewa hiyo zawadi kwa mamlaka ipi!!, Unamhonga mke wa mtu live,si dharau hizi!!!
Kujikomba blood siasaKujipendekeza ni moja ya vinasaba vya Watanzania wengi ...
Wewe ndo huaminikiHaaminiki huyo mtu
Nyumbu hovyo kabisa, eti President material! Acha lugha za watu hizi.Mataga wa ccm wataanza kusema ni president material [emoji848]
Kama wewe ungekuwa mke wake wiki mzima kulala mzungu wa nne?Unless it was staged, sisi wanawake tunajijua vizuri sana.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hakuna rangi Mheshimiwa ataacha kuona. [emoji2960][emoji2960][emoji1787][emoji1787]
Si mpaka giza liingie ndo tulale.Kama wewe ungekuwa mke wake wiki mzima kulala mzungu wa nne?
Hilo gubu sio la nchi hii.Kwa hiyo kuna mtu atanuniwa hatari....😁😁
Are you sure?Majaliwa for President !