Ule ndo uongozi dogo. Hupaswi kuwa dictator kisa katiba Iko wrongWote namba moja mpaka namba tatu wameshindwa kazi,hawapaswi kuwepo ofisini.
Yaani kwa "umungu - mtu" anaopewa rais wa JMT na katiba yetu,hapaswi kulalamika kama mimi mwananchi wa kawaida wa huku Lingusenguse.
Rais anasimamia viongozi wa chini wafanye kazi. Katiba haimruhusu kukimbizana na wafanyakazi kama.alivyotaka jpm kupindua katibaKuna udhaifu kuanzia juu kule, wacheni kuhangaika na PM, ndio maana mafisadi wameanza kuvimba tena wanajua hayupo wa kuwafanya chochote mama yao yuko upande wao.
Wazri mkuu ndo mtendaji mkuu wa serikali unless atwambie kama kadelegate kwakikwete au hajua anapaswa afanye nini kwa mana kwamba uwziri mkuu ni mzigo kwakeAjiudhuru kwanza Kikwete ili Majaliwa afanye kazi. Kuendelea kuwepo kwa kikwete na katibu wake mkuu Nape hakuna litakalofanyika.
Point sn ilitakiwa kuanzia PM, Spika/ Waziri husika, KM/CEO wote washitakiwe wameshindwa kaziLicha ya madudu yote hayo yaliyooneshwa na CAG lakini bado anakalia ofisi tu? Hebu fikiria Waziri Mkuu wa Iingereza alijiuzulu kwa kosa tu la kucheza mziki kipindi Cha COVID 19 lakini sisi huku Waziri Mkuu ndo kwanza anachekelea. Hivi nchi za kiafrika tunelaaniwa?
Rais hawezi kumwambia Waziri Mkuu eti jiuzulu bali PM mwenyewe ndo nafsi inapaswa imsute. Jana Rais Samia kaongea very logical issues akimlenga pm kwamba hana lolote analojua kama mtendaji Mkuu wa Serikali.
TAMISEMI angepewa mtu kama Kalemani pamoja na madhaifu yake lakini ni mfuatiliji mzuri snSasa Kweli mama angu na wew kairuki anaweza kukusadia nn kwenye tamisemi jafoo mwenywe ilimshinda wee unakwenda kumteua mtu back wkt mle ndani Kuna wabunge mahiri tu wangekusadia
Ona Sasa Jana alikuwa anaangua kicheko
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app