Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anasubiri nini ofisini au Afrika kujiuzulu ni dhambi?

No rais alitaka kuwaonesha kwamba hawafai. Kazi za rais ni kusimamia subordinates wafanye kazi siyo yeye kukimbizana na wafanyakazi siyo kazi yake
Mafaili ya hao wakuu wa mashirika yapo wazi kuhusu utendaji wao mbovu , maswahiba wa msoga gang ndo wapo huko , yeye kawaweka akijua ni wabovu na wapigaji, zigo aangushiwe majaliwa , akiwa mkali ooh anastyle ya mwendazake mara hii sio awamu ya kufokeana , pumbavu
 
Sheria haimruhusu rais kufire mtu ispokuwa wateule wake tu. Soma katiba uelewe
 
FB_IMG_16280318875404178.jpg
 
Wote namba moja mpaka namba tatu wameshindwa kazi,hawapaswi kuwepo ofisini.

Yaani kwa "umungu - mtu" anaopewa rais wa JMT na katiba yetu,hapaswi kulalamika kama mimi mwananchi wa kawaida wa huku Lingusenguse.
Mimi nilitegeea kuona waziri mkuu, mawaziri na makatibu wakuu wote waachie ngazi kwa huu upuuzi lakini.mpaka sasa wapo ofisini wanakula kiyoyozi
 
Licha ya madudu yote hayo yaliyooneshwa na CAG lakini bado anakalia ofisi tu? Hebu fikiria Waziri Mkuu wa Iingereza alijiuzulu kwa kosa tu la kucheza mziki kipindi Cha COVID 19 lakini sisi huku Waziri Mkuu ndo kwanza anachekelea. Hivi nchi za kiafrika tunelaaniwa?

Rais hawezi kumwambia Waziri Mkuu eti jiuzulu bali PM mwenyewe ndo nafsi inapaswa imsute. Jana Rais Samia kaongea very logical issues akimlenga pm kwamba hana lolote analojua kama mtendaji Mkuu wa Serikali.
Mama naye anasubiri nini kujiuzulu?
Ina maana mpaka CAG achunguze ndo ajue kuna ubadhirifu mkubwa?

Kwani taarifa hana?
 
Elimu ndogo ndo inakusumbua. Rais ana machineries na ndo hizo zimemletea ripoti na rais anasimamia mawaziri wote. Rais hapaswi kukimbizana na wafanyakazi unless kama hajui mopaka yake kama alivyokuwa jpm. Wafanyakazi wanapaswa kusimamia na pm ambaye ameshindwa
 
Kwa hoja yako hii nani ana elimu ndogo kati yako na yangu?

Rais anasubiri ripoti mezani? Unaelewa ulichoandika lakini?
 
Rais ni system na katiba inasema hivyo. Soma katiba vizuri sura 6 ibala ya tano
 
Soma kuhusu system.

System inaelewa kila kinachotokea. Ugonjwa ni matokeo ya kupuuzia dalili

Elewa somo
 
Ndo mana kaletwa na imesomwa hadharani kila mtu ajue kwanza hiyo ni ya kupingezwa ingekuwa enzi zile za giza kila kitu kingefichwa ili muone mambo yote yapo shwari
 
Hujui unachokijadili mkuu

Hayo pia ni masikitiko yangu kuhusu hii ripoti.

Ni wachache wanaoelewa
 
Hujui unachokijadili mkuu
Kwani nasema uongo. Vitu vingapi tumepwa fix na jpm mpaka akifika hatua ya kutufix eti tumeingia uchumi wa kati na wakati huohuo vyombo vya habari haviruhusiwi kuhoji chochote na ulijaribi unapoteza au unaumizwa vibaya sana kama akina kabendera
 
Kwanini yeye na sio aliyewekwa kwenye mabango kila kona ya nchi
 
Elimu ndogo ndo inakusumbua. Rais ana machineries na ndo hizo zimemletea ripoti na rais anasimamia mawaziri wote. Rais hapaswi kukimbizana na wafanyakazi unless kama hajui mopaka yake kama alivyokuwa jpm. Wafanyakazi wanapaswa kusimamia na pm ambaye ameshindwa
Acha chuki za kijinga dhidi ya PM wewe.
 
Back
Top Bottom