Midimay
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 3,036
- 5,039
Wewe ndio hujui. Hizo nchi zinakuwa na PM ambaye ni mkuu wa serikali, hed of executive na yeye ndio appointing authority.Ngoja nikufindishe kama hujui. Pm ni msimamizi wa serikali kwa kila kitu kinachofanyika serikalini. Ndo maana nchi zinazojitambu chochote kinachofanyika vibaya serikalini pm ndo anatake responsibility mana kazi yake imemshinda