Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uwongo,Rais ni Mkuu wa nchi na serikali , Waziri Mkuu ni msaidizi wa Rais katika usimamizi wa sera kupitia Mawaziri,suala la usimamizi wa Utumishi wa Umma lipo chini ya Katibu Mkuu Kiongozi ambalo linasimamiwa na Waziri wa Utumishi Ofisi ya Rais!!Elimu ndogo ndo inakusumbua. Rais ana machineries na ndo hizo zimemletea ripoti na rais anasimamia mawaziri wote. Rais hapaswi kukimbizana na wafanyakazi unless kama hajui mopaka yake kama alivyokuwa jpm. Wafanyakazi wanapaswa kusimamia na pm ambaye ameshindwa
Wewe acha uwongo, Uchumi wa kati ulitangazwa na Benki ya Dunia.JPM hana ubavu wa kutangaza kuwa nchi imeingia Uchumi wa kati!Kwani nasema uongo. Vitu vingapi tumepwa fix na jpm mpaka akifika hatua ya kutufix eti tumeingia uchumi wa kati na wakati huohuo vyombo vya habari haviruhusiwi kuhoji chochote na ulijaribi unapoteza au unaumizwa vibaya sana kama akina kabendera
Mbona hakuruhusu waandishi wa habari wahoji kama kweli bank ya Dunia ndo imetangaza. Kwani yeye ndo alikuwa bank ya duniaWewe acha uwongo, Uchumi wa kati ulitangazwa na Benki ya Dunia.JPM hana ubavu wa kutangaza kuwa nchi imeingia Uchumi wa kati!
PM anahusika nini na ufisadi wa TGFA, Wizara ya fedha, wizara ya uchukuzi? Mwanasheria mkuu wa serikali?Licha ya madudu yote hayo yaliyooneshwa na CAG lakini bado anakalia ofisi tu? Hebu fikiria Waziri Mkuu wa Iingereza alijiuzulu kwa kosa tu la kucheza mziki kipindi Cha COVID 19 lakini sisi huku Waziri Mkuu ndo kwanza anachekelea. Hivi nchi za kiafrika tunelaaniwa?
Rais hawezi kumwambia Waziri Mkuu eti jiuzulu bali PM mwenyewe ndo nafsi inapaswa imsute. Jana Rais Samia kaongea very logical issues akimlenga pm kwamba hana lolote analojua kama mtendaji Mkuu wa Serikali.
PM ni Paymaster General?Anapitisha mikataba ya manunuzi?Nini kazi ya pm.
NI masikio ya kenge tu mkuuKujiuzulu sio utamaduni wa Muafrika
Ngoja nikufindishe kama hujui. Pm ni msimamizi wa serikali kwa kila kitu kinachofanyika serikalini. Ndo maana nchi zinazojitambu chochote kinachofanyika vibaya serikalini pm ndo anatake responsibility mana kazi yake imemshindaPM ni Paymaster General?Anapitisha mikataba ya manunuzi?
Kwanza naomba unitake radhi kwa kuniita dogo.Ule ndo uongozi dogo. Hupaswi kuwa dictator kisa katiba Iko wrong
Si ndo mana uchunguzi umefanywa na imejulikana hivyo. Subiri Sasa what is nextKwanza naomba unitake radhi kwa kuniita dogo.
Kama nusu karne ni dogo,basi si ajabu kwa Wassira kuendelea kuteuliwa.
Pili, kuwaviambia vyombo vya ulinzi na usalama vitimize majukumu yao kwa mujibu wa sheria ni udikteta!!!?!
Vyombo vya kuzuia vipo.
Vyombo vya kuchunguza vipo.
Vyombo vya kushitaki vipo.
Vyombo vya kuendesha kesi vipo.
Ni ukakasi gani unapelekea tukio linapangwa,linafanyiwa kazi mpaka kukamilika huku TAKUKURU, TISS, POLISI, DPP, DCI, MAHAKAMA, BUNGE na wananchi vyote vipo bila kuchukua hatua!!!???
Ni tatizo kubwa yaani Wizara na idara anazosimamia kote Kuna failures Sasa Hadi afukizwe au?Licha ya madudu yote hayo yaliyooneshwa na CAG lakini bado anakalia ofisi tu? Hebu fikiria Waziri Mkuu wa Iingereza alijiuzulu kwa kosa tu la kucheza mziki kipindi Cha COVID 19 lakini sisi huku Waziri Mkuu ndo kwanza anachekelea. Hivi nchi za kiafrika tunelaaniwa?
Rais hawezi kumwambia Waziri Mkuu eti jiuzulu bali PM mwenyewe ndo nafsi inapaswa imsute. Jana Rais Samia kaongea very logical issues akimlenga pm kwamba hana lolote analojua kama mtendaji Mkuu wa Serikali.
Elimu ndogo ndo inakusumbua. Rais ana machineries na ndo hizo zimemletea ripoti na rais anasimamia mawaziri wote. Rais hapaswi kukimbizana na wafanyakazi unless kama hajui mopaka yake kama alivyokuwa jpm. Wafanyakazi wanapaswa kusimamia na pm ambaye ameshindwa