Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anasubiri nini ofisini au Afrika kujiuzulu ni dhambi?

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anasubiri nini ofisini au Afrika kujiuzulu ni dhambi?

Kama ni kujiuzulu kwa sababu ya madudu yanayotokea unadhani kuna ambae atabaki ofisini
 
Unawachukulia siriazi wana siasa??utakuwa umepotea pakubwa sana,,,,yale yote yameshapangwa nyuma ya kamera ili kuja kuwahadaa wajinga wajinga,,,,nyuma ya kamera wanagonga cheers na kula mapochopocho,,mwenzangu na mimi wanakuacha uendelee kushupaza shingo ukija shtuka mambo si mambo kwenye mambo yako,,,fanya yako achana na kelele hizo za hao jamaa unapoteza muda kwenye hakuna
 
Ajiuzuru vipi wakati tunajua wanatuchezea tu kwa report za kila siku kana kwamba hatujui hela zinaenda wapi

PM anajua na wote wanajua kinachoendelea
Idhinisha mabilioni halafu Sema mabilioni kadhaa yameibiwa huku wakijua zimeenda wapi

Hakuna anaehoji ila kila mwaka report ni za wizi tu
Sasa ya nini watangaze kama hatuoni watu 100 wanafungwa jela?

Madaraka matamu eti?.
Ila ni laana tu itawatafuna kwa kuwaibia wanyonge wasiojielewa
 
Licha ya madudu yote hayo yaliyooneshwa na CAG lakini bado anakalia ofisi tu? Hebu fikiria Waziri Mkuu wa Iingereza alijiuzulu kwa kosa tu la kucheza mziki kipindi Cha COVID 19 lakini sisi huku Waziri Mkuu ndo kwanza anachekelea. Hivi nchi za kiafrika tunelaaniwa?

Rais hawezi kumwambia Waziri Mkuu eti jiuzulu bali PM mwenyewe ndo nafsi inapaswa imsute. Jana Rais Samia kaongea very logical issues akimlenga pm kwamba hana lolote analojua kama mtendaji Mkuu wa Serikali.
Hawezi kujiuzulu sababu naye anayajua Madudu ya boss wake akiamua kuyaweka hadharani wote tutaziba pua zetu
 
Ajiuzuru vipi wakati tunajua wanatuchezea tu kwa report za kila siku kana kwamba hatujui hela zinaenda wapi

PM anajua na wote wanajua kinachoendelea
Idhinisha mabilioni halafu Sema mabilioni kadhaa yameibiwa huku wakijua zimeenda wapi

Hakuna anaehoji ila kila mwaka report ni za wizi tu
Sasa ya nini watangaze kama hatuoni watu 100 wanafungwa jela?

Madaraka matamu eti?.
Ila ni laana tu itawatafuna kwa kuwaibia wanyonge wasiojielewa
PM ni mzembe sn hafai kuendelea kuwa hapo
 
Mwacheni mama hata hajaanza kujilipa mnataka ang'ooke..wacha ale amfikie Magu kidogo..
 
Usipoteze muda wako kuwaza ujinga wa kujiuzulu.
Hao wote wanajuana na kulindana,endelea kutafuta mkate wako wa siku sio kuwaza kujiuzulu kwao.
 
Kwahiyo awaangalie tu. Maku makoma.
Katiba haisemi hivyo. Watanzania jifunze basi kiheshimu katiba. Angalia ruto anavyoiheshimu katiba ingekuwa kwa matakwa yake angevunja mtu kwenye maandamano Yale ila katiba inamfunga ayaruhush hi yohivyo hata kama hapendi ila ingekuwa jpm katiba ingekanyagwa tu
 
Kwani nasema uongo. Vitu vingapi tumepwa fix na jpm mpaka akifika hatua ya kutufix eti tumeingia uchumi wa kati na wakati huohuo vyombo vya habari haviruhusiwi kuhoji chochote na ulijaribi unapoteza au unaumizwa vibaya sana kama akina kabendera
We jamaa hoja zinakushinda unaanza kukimbilia kwa JPM....huyu mamaenu hawezi kuongoza nchi, tuendelee tu kuangalia vile wajanja wachache wanavyotafuna keki ya taifa....

We una chuki na JPM, una mahaba na Samia, that is it.
 
Kipindi Cha jpm wajanja wachache wa kula ndo waliibuka afadhari kipindi hiki wajanja ni wengi wa kula. Kipindi kile Cha giza walikuwa tu akina makonda, sabaya, polepole na bashiru
 
Kipindi Cha jpm wajanja wachache wa kula ndo waliibuka afadhari kipindi hiki wajanja ni wengi wa kula. Kipindi kile Cha giza walikuwa tu akina makonda, sabaya, polepole na bashiru
Kwa hiyo watu wanaokula kwa urefu wa kamba zao jinsi wanavyoongezeka ndo kitu unapenda! Ndio maana unajitahidi kumpa lawama PM na kumuona Samia hana kosa. Watu kama wewe wakiwa wengi kwenye hii nchi tusitegemee kuona tunapata maendeleo.
 
PM ni mzembe sn hafai kuendelea kuwa hapo
Anaongelea wizi halafu anacheka
Utajua kuna usanii kwenye hela zetu

Tutabaki masikini maisha yote
Haiwezekani mpaka leo eti hata kutatua mashimo ya vyoo mashuleni na hospitali wameshindwa

Kweli leo sisi wa kukubali watoto waende na majivu shuleni

Yaani wao wanafurahia udhalili wa mtz kwa kuwa hawezi kufanya kitu
Wao hakuna maisha wasiyoyaona yaani tunaishi tofaouti na wao
Huku wakicheka cheka tu
Hilo tabasamu linatusaidia nini kama majizi unakula nao?
 
Ajiudhuru kwanza Kikwete ili Majaliwa afanye kazi. Kuendelea kuwepo kwa kikwete na katibu wake mkuu Nape hakuna litakalofanyika.
Remote iko Msoga harafu screen zipo Chamwino na Magogoni
 
Ngoja nikufindishe kama hujui. Pm ni msimamizi wa serikali kwa kila kitu kinachofanyika serikalini. Ndo maana nchi zinazojitambu chochote kinachofanyika vibaya serikalini pm ndo anatake responsibility mana kazi yake imemshinda
PM hajahusika na izo mambo mzee ebu acha kuleta uchuro tafuta mtu mwingine wa kumvisha kengere kwenye hii issue
 
Back
Top Bottom