zero percent
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 559
- 644
Sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulikuwa hakuna haja ya kudanganya, wangetoa tamko dogo tu kueleza rais anaumwa lakini hali yake si mbaya sana, wananchi wangeelewa.
Kudanganya kwenye hili kumefanya wananchi wakose imani kwenye mengi mengine.
Wanasiasa wanadangqnya kila siku, lakini werevu wanadangqnya na "plausible deniability", mambo yakiharibika mtu anaweza kuwa na story ya kujitetea.
Unadanganya rais ni mzima anachapa kazi, wakati haonekqni na kuna habqri kila sehemu kwambq ni mgonjwa, halafu siku chache baadayei tu anafariki kwa ugonjwa.
Hapo unaonekana si muongo tu, bali pia ni mjinga.
Wanaleta siasa hadi kwenye afya za watu.Huyo anayejifuta machozi hapo, ni muongo mpaka anakera.
Sio kila mwana JF aanzishe uzi wa kuhoji suala lile lile, inapotokea mmoja kahoji suala la msingi anaungwa mkono na ndivyo nilivyofanya walipohoji wengine kwa wengine pia.Kama hukuyahoji haya kwa wengne enzi zile za utawala wake uzi wako ni kazi bure tu.
Hivi huyu mtu kwa nin huwa mnamuoverrate sana?J Makamba anafaa kuwa PM
Wana maslahi naye binafsi sio kwa faida ya taifa. Mtu anayependwa sana na rafiki wa pete na kidole wa mwanaharakati mtoto wa Prof Sarungi ambaye ndiye anampigia chapuo kwa hali zote.Hivi huyu mtu kwa nin huwa mnamuoverrate sana?
We lofa sana, kwani hata mama Samia alipokua tanga majuzi hapa alisemaje? acha uchongabishi wa kipumbavu, kwani mtu hawezi kuumwa na Mungu tu akamchukua ghafla?Wanabodi najua kabisa tupo kwenye msiba mkubwa. Msiba ambao umemgusa kila mtu na mpaka sasa kila Mwananchi haamini kilichotokea.
Lakini yapata kama wiki moja iliyopita taifa zima lilikumbwa na taharuki kubwa. Kila raia mwenye mapenzi na mkuu wa nchi yetu alitaka kujua kama anaumwa au haumwi. Wapo waliojitolea kuwa wapiga mbiu. Wao walisema kuwa Rais anaumwa na yupo hoi
Ghafla akaibuka Waziri mkuu akiwa ziarani huko nyanda za juu kusini. Alitoa tamko ambalo sababu yeye ndio msimazi wa shughuli za serikali kila mwananchi alimuamini. Aliwahakikishia watanzania kuwa Rais haumwi na anachapa kazi kama kawaida.
Tamko la Waziri mkuu kuwa Rais alikuwa mzima linakinzana na taarifa tuliyopewa na Makamu wa Rais kuwa tangu tar 6 Macih Rais amekuwa mgonjwa tena aliyekuwa amelazwa.
Je, kwa hali ya kawaida kuna raia ambae bado anaweza kumuamini Waziri Mkuu tena?
Mtateseka sana, Tanga walipewa na salamu za Mhe Rais, eti mmesahau!! machadema mnahangaika sana, mjue hapa ni nyundo juu ya nyundo, kwanza mtuache kidogo bado tunaomboleza nyie mnawaza vyeo hovyo kabisa nyie!Ajiuzulu fasta ,haiwezekani adanganye taifa.
We lofa sana, kwani hata mama Samia alipokua tanga majuzi hapa alisemaje? acha uchongabishi wa kipumbavu, kwani mtu hawezi kuumwa na Mungu tu akamchukua ghafla?