Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatakiwa kuwajibika kwa kudanganya Taifa lililokuwa na taharuki kubwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatakiwa kuwajibika kwa kudanganya Taifa lililokuwa na taharuki kubwa

Kulikuwa hakuna haja ya kudanganya, wangetoa tamko dogo tu kueleza rais anaumwa lakini hali yake si mbaya sana, wananchi wangeelewa.

Kudanganya kwenye hili kumefanya wananchi wakose imani kwenye mengi mengine.

Wanasiasa wanadangqnya kila siku, lakini werevu wanadangqnya na "plausible deniability", mambo yakiharibika mtu anaweza kuwa na story ya kujitetea.

Unadanganya rais ni mzima anachapa kazi, wakati haonekqni na kuna habqri kila sehemu kwambq ni mgonjwa, halafu siku chache baadayei tu anafariki kwa ugonjwa.

Hapo unaonekana si muongo tu, bali pia ni mjinga.
 
Huyo anayejifuta machozi hapo, ni muongo mpaka anakera.
 
Wanaleta siasa hadi kwenye afya za watu.
 
Wakuu,

SERIKALI na Chama tawala kwa sasa zingatieni ujumbe HUU:

Ni uzi wa swali kwa serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwanini walificha kuutaarifu umma wa wananchi kuhusu afya yake ili wajumuike naye kumwombea kama ilivyo ada?

Kwanini serikali imewakosesha haki yao wananchi kushiriki matatizo ya afya ya hayati Magufuli tangu mwanzo, labda angenusurika?

Kwanini wananchi wakihoji kuhusu masuala ya mahali alipo au afya ya hayati Magufuli majibu yenu ya kisiasa lakini fununu kutoka vyanzo visivyo rasmi vinapotoa taarifa baadae inakuja kuthibika kilichodaiwa kuwepo ndicho hicho huku ninyi mlikuwa mkikanusha?

Wananchi wamehuzunika sana kuhusiana na hili kama hamtalitolea ufafanuzi wa maana muwe tayari kutuhumiwa kuchangia kifo chake

Ni kweli baadhi walihoji bila nidhamu, kwa kejeli na kutweza utu mpaka walifikia hatua ya kuonesha jeneza kabla hata ya serikali haijatanga kifo chake huku hayati Magufuli akiwa amepachikwa ndani yake ambalo ukilitazama linafanana ndani na nje kama hili la ukweli, kwanini usiri ulitawala bila sababu inayokubalika huku mkikinzana wenyewe?

Mimi nimewasilisha duku hizo za wananchi wanazo nung'unika nazo kwa sasa,

Tafadhali wapeni majibu kwa HEKIMA na BUSARA msitumie hasira, nguvu wala vitisho kufafanua haya maana nongwa waliyokuwa nayo wananchi wanaweza kuwatoweni hata madarakani kwa sasa pamoja na kwamba hilo ni ndoto hadi uchaguzi mwingine lakini kwa dhamira zao wanasema wanaweza hata sasa kama hamjirekebishi.
 
Kama hukuyahoji haya kwa wengne enzi zile za utawala wake uzi wako ni kazi bure tu.
 
Waliogopa. Maana mzee asingependa endapo angepona halafu akute walitangaza anaumwa.
 
Walidhani ana mamlaka duniani na mbinguni. Jambo ambalo lilikuwa ni kosa kubwa na kufuru mbele za Mwenyezi Mungu! Tuliwaambia humu, ya kwamba "Mficha maradhi, kifo humuumbua" ila walipuuza.
 
Kama hukuyahoji haya kwa wengne enzi zile za utawala wake uzi wako ni kazi bure tu.
Sio kila mwana JF aanzishe uzi wa kuhoji suala lile lile, inapotokea mmoja kahoji suala la msingi anaungwa mkono na ndivyo nilivyofanya walipohoji wengine kwa wengine pia.

Mimi sio sehemu ya serikali ni raia wa kawaida sana ambaye hana nafasi yoyote ya kushawishi jambo kwao ila kwenye jukwaa hili tukufu ndio mahala pake maana ndipo watuongozao wanapaheshimu kwa kuwa kuna wenye akili za 5G ambapo mawazo na maoni au ushauri wao husaidia sana utendaji wao kuelekea kwenye ubora na thamani stahiki.
 
Aliyesema "mwanasiasa akikuambia Sasa hivi Ni saa sita mchana yakupasa kuhakikisha mwenyewe mana Ni waongo balaaa" mabomba kutoa maji na maziwa nchi nzima....
 
Wanabodi najua kabisa tupo kwenye msiba mkubwa. Msiba ambao umemgusa kila mtu na mpaka sasa kila Mwananchi haamini kilichotokea.

Lakini yapata kama wiki moja iliyopita taifa zima lilikumbwa na taharuki kubwa. Kila raia mwenye mapenzi na mkuu wa nchi yetu alitaka kujua kama anaumwa au haumwi. Wapo waliojitolea kuwa wapiga mbiu. Wao walisema kuwa Rais anaumwa na yupo hoi

Ghafla akaibuka Waziri mkuu akiwa ziarani huko nyanda za juu kusini. Alitoa tamko ambalo sababu yeye ndio msimazi wa shughuli za serikali kila mwananchi alimuamini. Aliwahakikishia watanzania kuwa Rais haumwi na anachapa kazi kama kawaida.

Tamko la Waziri mkuu kuwa Rais alikuwa mzima linakinzana na taarifa tuliyopewa na Makamu wa Rais kuwa tangu tar 6 Macih Rais amekuwa mgonjwa tena aliyekuwa amelazwa.

Je, kwa hali ya kawaida kuna raia ambae bado anaweza kumuamini Waziri Mkuu tena?
We lofa sana, kwani hata mama Samia alipokua tanga majuzi hapa alisemaje? acha uchongabishi wa kipumbavu, kwani mtu hawezi kuumwa na Mungu tu akamchukua ghafla?
 
Ajiuzulu fasta ,haiwezekani adanganye taifa.
Mtateseka sana, Tanga walipewa na salamu za Mhe Rais, eti mmesahau!! machadema mnahangaika sana, mjue hapa ni nyundo juu ya nyundo, kwanza mtuache kidogo bado tunaomboleza nyie mnawaza vyeo hovyo kabisa nyie!
 
We lofa sana, kwani hata mama Samia alipokua tanga majuzi hapa alisemaje? acha uchongabishi wa kipumbavu, kwani mtu hawezi kuumwa na Mungu tu akamchukua ghafla?

Gafla wapi wewe umesikia jinsi Mheshimiwa Rais alivyotangaza kifo jinsi tangu alivyoanza kuumwa na hospitali alizopelekwa?

Je umesikia taarifa kutoka kwa mwakilishi wa familia ya Hayati Magufuli?
 
Back
Top Bottom