Waziri Mkuu Kassim Majaliwa avamia mwendokasi, ahoji mapato yalipo kama wanashindwa kununua mabasi. Mkurugenzi wa fedha atumbuliwa

Kama ulikuwa umekufa tangu mwanzo Mbona mwanzoni hakukuwa na shida na mradi ulikuwa unaenda vizuri?
 

Namsikia mtangazaji wa kike kwa sauti ya kulembua nahisi anamkoga PM kuwa huduma zipo sawa bila kujua mwenzao anataarifa zao zote kuhusu madudu yao
 
Hujui kuwa wanatumia ticket na zinakatwa?? Hujui mwanzoni kulikuwa na kadi na watu walikuwa wanaswap na mapato yanasoma???

Uko chato au Burundi?
Hakuna kukatavtiketi kama daladala, hakuna konda UDART. Mwongo mkubwa.
 
Ufisadi upi ulikuwepo?? Acheni kuchukia matajiri ndo mana mnakuwa masikini na makapuku milele!
Umejuaje mimi ni maskini? Umejuaje nachukia matajiri? Kusema huu mradi ulikuwa wa kifisadi ndiyo nimechukia matajiri? Nachukia mafisadi siyo matajiri.
 
Kuna watu mnaidhalilisha jamii forum kwa kudandia vitu msivyovifahamu au kwa kutumwa kuwasifia watu. Mjitahidi kabla ya kuandika masuala makubwa kama haya ili kuepuka upotoshaji mnatakiwa kufanya utafiti siyo kuandika mkiongozwa na chuki. Zamani niliamini JF ni sehemu ya kuoata habari za kiuchunguzi lakini imegeuka kuwa jukwaa la wambea na wafitishi kwa habari za kutunga kama hizi.
 
Sasa mmemuondoa na mradi umewafia. Hiyo ni akili au matope?
Wewe unaweza kuwa unaongozwa na ujinga. Unataka ku-suggest kuwa watu hata wakiiba ilimradi wanakwenda kufanya vizuri basi tusiwahesabu kuwa wana makosa? Unatumia nini kufiri wewe? Au wewe ndiye huyu mwizi? Au mke wake?
 
Juhudi gani wakati mwendokasi inajifia?? Ushawai kupanda mwendokasi wewe au ndo unaongea tu kutoka chato?
Tunajua kinachoendelea nyuma ya pazia. Hata hizi kelele na huu ujinga unaondika hapa tunajua sababu yake.
 
Nyuma ya kisena kuna rizi-1, juhudi kubwa sana zinafanyika kuirudisha miradi ya kifisadi ya Kikwete iliyo chinjiwa baharini na Makufuli, kosa kubwa alilofanya Makufuli ni kutowanyonga haraka haraka Kisena, Rugemalila na Sethi
Ehehh

Ova
 
Huyu ni muongo ! Alituambia Jiwe anachapa kazi kumbe hoi !
 
Eti anamlaumu jpm,wakati jpm alijaribu kuirudisha mwendokasi kwenye mstari
Sema ndiyo hivyo

Ova
 
Kaza boot Majaliwa
 
Kuna mtu anasikika anasema mabasi yameharibiwa na corona😀🤣 kiti moto sakafu moto
 
Kazi kazi.

mapigaji yanataka kurudi.

safi sana waziri mkuu
Sijui kama unaelewa.
Upigaji huu upo miaka yote, sio mwendokasi pekee hata vivuko mtindo ni huu huu wa kuchana tiket badala ya ku scan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…