Waziri Mkuu Kassim Majaliwa avamia mwendokasi, ahoji mapato yalipo kama wanashindwa kununua mabasi. Mkurugenzi wa fedha atumbuliwa

huwa wakati mwingine siwaelewi watendaji wetu jinsi wanavyofanya kazi.
inashindikana nini mtu aliyepewa dhamana na serikali kupewa mabasi ili aendelee na huduma huku fedha za kodi zikikatwa kila mwezi au kila siku kwa kiasi kidogo mpaka ziishe? ikiwezekana na riba baada ya muda kupita? kipi kinashindikana?
 
Kwa nini mradi ulianzishwa kwa complications namna hii? Huu mradi aliyeuanzisha ndiye mwenye makosa. Wengi tulisema hapa kuwa wana-complicate mambo kwa sababu tu ya ufisadi. Nadhani ni enzi za mkwere hizo.
 
Kisena alikuwa kwenye mradi kifisadi. Hivyo ilikuwa sawa kumuondoa. Labda tuseme hakutafuta solution nzuri.
Hata kama alikuwa kwenye mradi kifisadi Mbona aliuendesha vizuri na kisasa mwanzoni?? Mbona huyu ambaye mnadai sio fisadi ndo amefanya mradi ufe???
 
Kwa nini mradi ulianzishwa kwa complications namna hii? Huu mradi aliyeuanzisha ndiye mwenye makosa. Wengi tulisema hapa kuwa wana-complicate mambo kwa sababu tu ya ufisadi. Nadhani ni enzi za mkwere hizo.
Ufisadi upi ulikuwepo?? Acheni kuchukia matajiri ndo mana mnakuwa masikini na makapuku milele!
 
Hata madereva waliokuwepo aliwang'oa akaweka Wanajeshi ( Naweza kuthibitisha ), hapa ameua ajira kwa kuwapa kazi watu wenye ajira mahali kwingine , ana roho mbaya sana
Alafu baadae wanafukuza kazi vijana wa JKT ambao waliwapa ahadi za kuwaajiri. Magufuli hakuwa na akili kabisa. Ugomvi wake na sekta binafsi ndo umeleta shida kubwa sana ya ajira nchini hapa
 

Iviwewe huyo kisena ujua alicho fanya, ama ulikuwa unakula kwake?

Kushugulika na mafisadi ni moja ya mambo ambayo Magu aliapa kupambananayo mbaka dakika ya mwisho na ndivyo ilivyo kuwa.

Hata ukuwauliza wenzako walio acha unyumbu wakaunga mkono juhudi watakuambia walivutiwa na jinsi Magu alivyokuwa akipambana na mafisadi wahujumu uchumi.

Acha kupambana na marehem mwenzako kashamaliza mwendowake we bado una hasiranae tuliza akili acha kuzeeka vibaya.
 
Acha kuzunguka mbuyu. Aliyeua mradi ni Magufuli kwa kuleta ujuaji wake na ugomvi wake na Kisena!
 
Kupambana na mafisadi ndo unaua miradi na unasababisha Tatizo la ajira?? Hizo ni akili au matope??
 
Nyuma ya kisena kuna rizi-1, juhudi kubwa sana zinafanyika kuirudisha miradi ya kifisadi ya Kikwete iliyo chinjiwa baharini na Makufuli, kosa kubwa alilofanya Makufuli ni kutowanyonga haraka haraka wahujumu uchumi nguli kama Kisena, Rugemalila na Sethi
 
Nyuma ya kisena kuna rizi-1, juhudi kubwa sana zinafanyika kuirudisha miradi ya kifisadi ya kikwete iliyo chinjiwa baharin na makufuli
Juhudi gani wakati mwendokasi inajifia?? Ushawai kupanda mwendokasi wewe au ndo unaongea tu kutoka chato?
 
Ule mfumo kisena aliona aumlipi,ndio akaamua kulikoroga maxmalipo kwa maksudi,matokeo yake ndio haya sasa,anapiga sana pesa yule jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…