Chiwa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 4,116
- 4,979
huwa wakati mwingine siwaelewi watendaji wetu jinsi wanavyofanya kazi.
inashindikana nini mtu aliyepewa dhamana na serikali kupewa mabasi ili aendelee na huduma huku fedha za kodi zikikatwa kila mwezi au kila siku kwa kiasi kidogo mpaka ziishe? ikiwezekana na riba baada ya muda kupita? kipi kinashindikana?