Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kumuwakilisha Rais Samia UNGA79

Mnasahau haraka ee?!!

Hukumbi Mange Kimambi alipofanya lobbying ya wale mazwazwa kipindi kile mh.alipokwenda New York ?!!
 
Hivi hapa kwetu Changamoto zetu tulishazimaliza ? Mbona kila kukicha mambo yanabadirika sasa from bad to worse.
hakuna mahali popote duniani kwenye nchi, ama hata kwenye familia ya mtu yeyote, ambapo hakuna changamoto.

Na kwasababu ya ubinadamu kamwe hakuna mahali changamoto zitaisha..

tutatatua changamoto hizi na zile, lakini zitaibuka nyingine mpya na zatofauti na ulizozitatua.

na huo ndio ubinadamu 🐒
 
Baavichaa hawana akili....
 
Pole yake bibi kiziwi alijisahau alijua anacheza na mjuu wake bonge mpenda misosi kumbe anahutubia Dunia kupitia taifa letu...angeenda
Mlomo mrefu umeponza kiwiliwili😝
 

Attachments

  • downloadfile-5.jpg
    102.1 KB · Views: 1
😍😍
 
hivi hajawahi kwenda US?
Alienda unakumbuka kipindi kile anaenda na mange kimambi alikuepo kunsapotumi mpka kunsalimia kabisa baadae yule waziri wa mambo ya ndani mvaa miwani akamrudishia passport yake yakibongo kama sikosei
 
😂😂😂

Katema bungo
 
Ile speech yake,imemuondolea uaminifu kwa raia walio wengi,ijapokuwa atashinda uchaguzi ujao kutokana na katiba tuliyo nayo,lakini anaweza akawa amepata somo zuri sana ikiwa ni yasemwayo ni kweli.
 
Ziko wapi zile 4R acheni mapichapicha 🤣🤣🤣
 
Ziko wapi zile 4R acheni mapichapicha 🤣🤣🤣
Dr Samia Suluhu Hassan 4Rs theories ndio imelifikisha Taifa kwenye umoja, amani na utulivu uliopo sasa nchini...

hapo kabla Ilikua ni kususa, kuzira na kugomea kila kitu. Leo hii makongamano ya kidemokrasia mathalani yanayoandaliwa na TCD wanasiasa waliyagomea, lakini leo hii wanajaa nyomi na wao ndio viongozi, dah 🐒

njaa haina aibu wala adabu. posho sio kitu cha mchezo mchezo 🤣
 
Mnataka kufanya kama ya ebrahim raisi au bwana Ogola wa hapo kenya??? Michezo yenu imeshajulikana
 
Hakuna lolote ni harakati za kanisa tu kutaka mama asitawale kwa amani, ila kumkosa hawawezi
Yaani wameambizana akitoka huyu aseme huyu halafu huyu lolote lile la uzushi tu,ila wanatwanga maji kwenye kinu
 
Acheni kutengeneza sinema za kitoto. Mara nyingi sanai RAIS ametuma wasaidizi ktk mikutano ya kimataifa!!
  • Majaliwa Majaliwa - UNGA
  • Philip Mpango - Mazingira
  • Philip Mpango - Uapisho Rais nk nk
 
Sijapata bahati kumsikia waziri mkuu wa Tanzania mheshimiwa Kassim Majaliwa (Mb) akiongea kwa lugha ya kigeni.

Pengine Umoja wa Mataifa tutapata wasaa wa kusikia hotuba yake kwa niaba ya rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Hotuba yake ni ya hovyo sana kuwahi kutolewq na rais wa nchi duniani.

Sasa ndo mwisho wa USINDIBAD
 
Chadema wako wapi hapo? Hivi huwa mnaelewa ni kwa kiasi gani MaRais wanakuwa na upinzani wa ndani?
Samia kutokwenda kunahusiana vp na speech aliyoitoa?

Ukiwa na jibu sahihi la hilo swali utaelewa kwann nmewasema Chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…