Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,505
- 4,427
Nimeshtuka sana nilivyosikia ila nahisi nimesikia vibaya. Uso wa furaha wa waziri leo sikuiona kabisaKama wasemavyo waswahili "siku za mwizi 40"
40 hutimia siku ya kukamatwa mwizi, inaweza ikawa hata siku ya kwanza kuiba, maybe PM kuna jambo leo amelimaliza/amelikamilisha.
Naona umecomment vya Arovera bila ya kutafakari.Udini huyu waziri mkuu. MFYUUUU
Natanguliza ombi la msamaha kama ilitokea nimemsikia vibaya Mhe. Waziri mkuu wakati akitoa salamu za serikali wakati wa uapisho wa viongozi, ikulu Dodoma leo.
Mhe. Waziri Mkuu amesema leo ni siku ya 40 ya mwaka mpya wakati leo ni siku ya 10 tu.
Je, Waziri Mkuu alikuwa ana maana gani? Je, nimemsikia vibaya?
Huyu mtu aliwahi kusema Rais ni mzima wa afya tele anachapa kazi . Na akawadhihaki waliohoji kutoonekana kwake kuwa "wangependa wamuone kariakoo au magomeni." Wakati kesho yake msiba ulitangazwa !!Natanguliza ombi la msamaha kama ilitokea nimemsikia vibaya Mhe. Waziri mkuu wakati akitoa salamu za serikali wakati wa uapisho wa viongozi, ikulu Dodoma leo.
Mhe. Waziri Mkuu amesema leo ni siku ya 40 ya mwaka mpya wakati leo ni siku ya 10 tu.
Je, Waziri Mkuu alikuwa ana maana gani? Je, nimemsikia vibaya?
Naona umecomment vya Arovera bila ya kutafakari.
Hivi ni kalenda gani, iwe ya kiislamu, ya kiyahudi au kibaniyani ambayo ina mwezi wa siku arubaini? Kama amefanya kosa la kutamka ndiyo ahukumiwe kwa kuwa dini fulani?
HAMUWACHI NYINYI YAKHE (kwa herufi kubwa kuweka msisitizo.
Na uoga huzaa unafiki then uongoHahahaha unyenyekevu ukizidi huzaa uoga hahahaha
Kwani huyu ni wa dini gani ?Udini huyu waziri mkuu. MFYUUUU
Ya kiislamu leo ni siku ya 160 tangu mwaka mpyaAnatumia kalenda ya kiislamu
Kassim Anavuruga Upepodishi limecheza