Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kusema leo siku ya 40 ya mwaka mpya anamaanisha nini?

Huyu alishasema rais mzima anachapa kazi, wakati rais hoi bin taaban anakaribia kufariki.

Mtu kama huyo unaweza kumuamini?
 
Sijamuona Makamu wa rais leo pale mbele? Natafakari je hakupaswa kuwepo pale leo kama kawaida invyokuwaga?
 
40 ya Lukuvi na Kabudi
 
Amemiksi maskini

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ninachofurahi tu ni kwamba hana furaha kabisa.
 
Sijamuona Makamu wa rais leo pale mbele? Natafakari je hakupaswa kuwepo pale leo kama kawaida invyokuwaga?
Nahisi kuna Shida. Hata juzi kwenye Ile report ya maendelei hakuwa na USO ule niliouzoea miaka mingi toka 1990s nilivyomfahamu kwa karibu. Ninakuombea Afya njema mno mno. Ni mwadilifu mno na mchapakazi we can't miss. Tunakuombea Dr. Mpango.
 
Kachanganyikiwa
 
Inaweza Kuta alikuwa anakesha makaburini kupalilia kibarua chake Cha upm.
 
Kwani hakuna siku ya 360 ya mwaka mpya?
 
Si turudishe nyuma siku 40 kutoka leo tuone itatua siku/tarehe gani? Huenda ina maana, huwezi jua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…