Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kusema leo siku ya 40 ya mwaka mpya anamaanisha nini?

Yeye na hangaya wana taka kuleta u islamic hapa
 
Nani anamwamini Majaliwa huyu ni muongo asie na dini wala Mungu..
 
Ni mambo ya Numerology hayo, unaposikia 40 siyo namba ya kawaida
 
Wanabodi natumai mko salama!!

Leo waziri Mkuu kastaajabisha umma kwa kusema leo tar 10/1/2022 ni siku ya 40 ya Mwaka mpya huku akiwa serious kabisa!!

Je,, hii siku ya arobaini ya Mwaka Mpya kwa mujibu wa PM inatoka kwenye calendar gani??

Je ,, ni stress na fear juu ya kutumbuliwa kwenye tittle aliyonayo au mambo ya kibinadamu tu au pengine Kuna calendar ya Siri tusiyoijua??

Naomba kuwakilisha!!
 
Inawezekana kwa mujibu wa dini yake leo ni siku ya 40 tangu mwaka mpya uanze.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kulingana na dini yake leo ni siku ya 40 tangu mwaka mpya uanze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…