Yule mtoto wa mbarikiwa aliiba kawimbo Fulani sikakumbuki vizuri.

Anayekafahamu atupie humu tuimbe kidogo .
 
MRJMT Phillip Mpango ana utaratibu wake wa kutoa taarifa kupitia mtandao wa Twitter kwa kila shughuli anayoifanya awapo nje ya nchi kikazi au hata akiwa nchini.... amepotea ghafla!. Yanayoendelea sasa huko chamani na Serikalini yako wazi japo sirini- ukiunganisha dots!
Hivi kuna faida gani kwa kiongozi wa nchi kufanya mambo kwa kificho?... Inawezekana Waziri Mkuu anawekwa kwenye mtego utakao mchafua na kumfanya asiaminike siku zijazo.....Historia ina tabia ya kujirudia. 😟
 
Kassim Majaliwa naye ovyo sana.
Amekaririshwa vitu vya ajabu ajabu sana kuja kuropoka hadharani ili kuua soo na misheni.

Kulikuwa kuna ubaya gani kama Majaliwa angekaa kimya tu au angesema wazi makamu ni mgonjwa na yuko nje ya nchi, kule........ kwa matibabu. Kwanini kufunguka codes nyepesi za uongo

Yaani hata kwa akili ya kitoto tu, yaani tangu lini;
1. Makamu wa Rais aende nje ya nchi na serikali isiseme. Safari za makamu wa rais za kikazi nje ya nchi zimeanza lini kuwa ni siri?
2. Dunia nzima asijue
3. Waziri mkuu ashindwe kusema makamu wa rais yupo nchi gani.
4. Safari ya zaidi ya wiki tatu?
5. Makamu mwenyewe kushindwa kusema yuko wapi mpaka asemewe.
 
Huyu PM siyo mtu wa kumuamini sana sana alishawahi tuhakikishia hivyo hivyo wakati rais JPM amefariki.
 
Yule Yule alie sema kiongozi w malaika Yuko ofisini anachapa KAZI. It's Done [emoji736]
 
Majaliwa hata kwenye suala la Magufuli alitoka hadharani na kuanza kufoka,siku 3 mbele Taifa likaombeleza!!

Ikiwa anaweza kutumia gharama kubwa na muda kuficha mvi,sishangai kutoa tamko lisilo kweli!!
 
Rejea kauli yake wakati wa mwendazake
 
majaliwa huwezi kuaminiwa tena.
kama yuko hai shida iko wapi kutoka hadharani.
mbona samia akiwa Dubai tunamuona
 
Majaliwa asiwe anaulizwa afya za viongozi,

Yasije kujirudia Yale Yale ya 2021 eti anachapa kazi kumbe mtu Yuko kwenye jokofu[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kama na huyu kaongea, basi tayari.
 
It doesn't look good. Yaani Rais na Makamu wake nje ya nchi kwa wakati moja!? Sasa kazi ya Makamu ni nini?

Halafu bora angesema yuko nje kwa shughuli binafsi. Makamu hawezi kuwa nje ya nchi kikazi halafu watu wote washindwe kujua yuko nchi gani.
 
Yaani Rais safari zake zinaandikwa na picha anapigwa ila makamu wake utafikiri yuko Area 51
Kama ni ugonjwa sio aibu tena kuficha ndio aibu zaidi
Tangu anaondoka mbona hawakutangaza kuwa anaenda kwa majukumu ya kikazi au sijui kazi maalum
Hivi natesekea nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…