KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
"Mfungo wa Kwaresma", hata kamera hazifanyi kazi, ingawaje kule kanisani kila Jumapili zinawaka sana!Naweza kuamini hii kwa asilimia 56,hoja hii ipo juu ya hoja nyingine zote
Your question is logical but soundless. Since when wewe unampangia Rais nini afanye!???
Unga cha kwako tukioneWewe nawe na kiingereza chako cha kuunga unga. Unadhani ukiandika kiingereza ndiyo utaonekana una akili? Mbona Magufili hakijui na anatumia kiswahili tu?
Kwahiyo Lissu nae kaibebaje nzimanzima mpaka amenukuliwa na vyombo vya habari chungu nzima duniani koteUwezekano mkubwa ni kuwa Lissu naye ameingizwa kingi kwa njia ya kuaminika sana. Kama umekuwa unafuatilia hili sakata utaona kuwa juzi walisema na waziri Mpango naye amepelekwa Nairobi. Hii yote ni kuifanya habari nzima ya kuugua ionekane ni uzandiki.
Kweli Majaliwa , magu sio wa kwenda magomeni ...yeye sio parish worker ....
Anazidi kujiharibia na pia wanamuona ni mtu wa visasi.Kwa hiyo Lissu nae kaibebaje nzimanzima mpaka amenukuliwa na vyombo vya Habari chungu nzima duniani kote
Lissu anatakiwa awe na washauri wenyekuaminika kama sivyo anaweza kuuwawa kisiasa
Itaumwa na kufa wewe na familia yako, rais kipenzi cha watanzania utamuacha haiKuna watu wanaumia sana ma hizi taarifa. Jpm ni chaguo la Mungu.
Asomaye na asikilizaye haya na afahamu. Kuna jambo siyo bureWaziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, amewataka watanzania wawapuuze Wapotoshaji wa mitandaoni wanaotaka kuleta taharuki juu ya Afya ya Rais Magufuli "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?"...
Too early. . .Asante Mungu mtukufu, serikali imeshasema sasa endeleeni kuongea upuuzi wenu, watu wanaoliombea mabaya taifa letu Mungu awasamehe