Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Kwani wakuu Kuna nini? Maana naona maswali mengi kwamba rais yu wapi? Kwani kuna shida ya kumuhusu huyu kiongozi?

Huyu kiongonzi hulindwa hata sisimizi kukatisha mbele yake awe amejipanga, au kakubaliwa, so mtu kama huyu kuhuliza yu wapi mbona ni kupoteza mda.

Tunajua yu mzima hayo maulinzi yote ni kodi zetu , so **** Kuna shida ni jukum la hao wakaho karibu nae kutufamisha ,so Kama kimia maana yake yu salama ,kimbembe mtu aje na mbwembwe kwamba Kuna shida , wakati wa kipindi chake Cha ukimia hapo moto utawaka, na si utani Yani ,namanisha , kivipi ? Itajulikana.

Nchi ishakua ngum Sana hii ,ndugu zangu ebu tuendelee pambana, si mda Lukuvi anachukua viwanja vyetu KWA umaskin tulionao, but Mungu ndio Alfa na Omega.
 
Asante Serikali maana taharuki ilitaka kuzidi.Imetoka hiyo
 
Inamaana hata Lissu anatuingiza Kingi sasa ni bora tujali kuhusu maisha yetu huyu mzee huenda keshanunua Pegasus anatuchora tu mimi najitoa kwenye huu mkumbo

Bora niuze genge langu nipate ujira wangu nisubiri siku Mungu atakapowapa hekima hawa watawala

La sivyo hii constructive criticism itaambulia sisi kusakwa na kuuwawa.
 
Your question is logical but soundless. Since when wewe unampangia Rais nini afanye!???

Nawe ndio walewale tu! Unaweza kusema hapa kuwa Rais kamtuma Waziri Mkuu kusema aliyosema??

Mnakwama wapi vijana, illogical thinking thinking imesambaa kiasi cha kushangaza. Cha msingi hapa ni kuwa Waziri Mkuu anasema ameongea na Rais - kama anaumwa au haumwi hili sio la msingi. Yu hai! And that is logical. Sio swala la nani anampangia nini mtu gani.
 
Uwezekano mkubwa ni kuwa Lissu naye ameingizwa kingi kwa njia ya kuaminika sana. Kama umekuwa unafuatilia hili sakata utaona kuwa juzi walisema na waziri Mpango naye amepelekwa Nairobi. Hii yote ni kuifanya habari nzima ya kuugua ionekane ni uzandiki.
 
Nyie wafa maji kweli. Mlipiga kelele serikqli mbona iko kimya, au hapo majaliwa kavaa kanzu basi sio serikali ndio unavyowaza ma myumbu wenzio?
 
Uwezekano mkubwa ni kuwa Lissu naye ameingizwa kingi kwa njia ya kuaminika sana. Kama umekuwa unafuatilia hili sakata utaona kuwa juzi walisema na waziri Mpango naye amepelekwa Nairobi. Hii yote ni kuifanya habari nzima ya kuugua ionekane ni uzandiki.
Kwahiyo Lissu nae kaibebaje nzimanzima mpaka amenukuliwa na vyombo vya habari chungu nzima duniani kote

Lissu anatakiwa awe na washauri wenye kuaminika kama sivyo anaweza kuuwawa kisiasa.
 
Kwa hiyo Lissu nae kaibebaje nzimanzima mpaka amenukuliwa na vyombo vya Habari chungu nzima duniani kote

Lissu anatakiwa awe na washauri wenyekuaminika kama sivyo anaweza kuuwawa kisiasa
Anazidi kujiharibia na pia wanamuona ni mtu wa visasi.
 
Asante Mungu mtukufu, serikali imeshasema sasa endeleeni kuongea upuuzi wenu, watu wanaoliombea mabaya taifa letu Mungu awasamehe
Too early. . .
Watu hawawezi kuombea mabaya.
Important Ni kuombeana kheri. Hata usiyempenda muombee kheri. . .

Too early. ..
 
Back
Top Bottom