Kwani wakuu Kuna nini? Maana naona maswali mengi kwamba rais yu wapi? Kwani kuna shida ya kumuhusu huyu kiongozi?
Huyu kiongonzi hulindwa hata sisimizi kukatisha mbele yake awe amejipanga, au kakubaliwa, so mtu kama huyu kuhuliza yu wapi mbona ni kupoteza mda.
Tunajua yu mzima hayo maulinzi yote ni kodi zetu , so **** Kuna shida ni jukum la hao wakaho karibu nae kutufamisha ,so Kama kimia maana yake yu salama ,kimbembe mtu aje na mbwembwe kwamba Kuna shida , wakati wa kipindi chake Cha ukimia hapo moto utawaka, na si utani Yani ,namanisha , kivipi ? Itajulikana.
Nchi ishakua ngum Sana hii ,ndugu zangu ebu tuendelee pambana, si mda Lukuvi anachukua viwanja vyetu KWA umaskin tulionao, but Mungu ndio Alfa na Omega.