HahahahaMjomba wako ni Afisa kipenyo Asiyejitambua.
Rais sio taifa ni mtu tu ambae akifa mwingine anachaguliwa na atakuwa Bora kabisaAsante Mungu mtukufu, serikali imeshasema sasa endeleeni kuongea upuuzi wenu, watu wanaoliombea mabaya taifa letu Mungu awasamehe
Unamaanisha nini apo mkuu?Hayatakua ya Bi Zakia kweli?!
Sorry it's nature's reality
Ujinga huu mliuanza nyinyi CCMuzushi pia ni jambo baya sana,hudhalilisha watu na kuwakosea wengine uaminifu.
kama umekuwa mtulivu,leo wanazusha amefia dsm wakati walisema amepelekwa india.
all in all Mungu ndiye anaona ulicho nacho moyoni.
Lissu yuko CCM siku hizi!!!!!Ujinga huu mliuanza nyinyi CCM
Hizo mamlaka zimejaa porojo hamna kitu hapo!Tusubiri mamlaka ziongee.
Lakini, "Yuko wapi? Tunataka kumuona!!!"Rais ajitokeze hadharani azungumze na sisi wananchi wake. Tumemkumbuka sana.
Sauti ya ushamba? Sijui kama mama huyu anafaa, lakini kwa jumla nchi zilizoongozwa na wanawake waliendeea vizuri. Kumbuka Merkel-Ujerumani, Fernández de Kirchner - Argentina,Shida ni kwamba yeye ni mwanamke, kiongozi wa nchi lazima awe mwanaume. Yeye labda aendelee kuwa msaidizi
Wanaachaje kudhania hivyo wakati kuna mtu kama wewe unazurura tu huku badala ya kuwa huko waliko.Hata walioko MIREMBE wakiwa wamelazwa, hudhni sisi tulio nje ya Mirembe ni vichaa
Mwenye ile katiba si karudi bwanaTeam Chato imejipanga kuvunja Katiba kwa gharama yoyote ile. Sasa watajua hawajui.
Diwani na Mabeyo hamna hata Askari/Afisa anayewatii, take note to that. Msiwasikilize team Chato.
Kumsema kwa kumwombea mauti nako ni sawa!???Hajamuombea mabaya,ila huko white house kirusi kinazunguka zunguka huko ,sasa huu ukimya watu lazima wasema kitu.
Kwani si Nyinyi ndio humuua huku mitandaoni na kisha hufufuka? Hamna tofauti na wao wanaompa vyeo visivyo vyake.Wewe ni mgeni hapa Tanzania,wakati Kabudi anamfananisha na Mungu na yeye hakukemea hio hukuwepo,bila kusahau Lugola akimuita Yesu je?
Kwahiyo umeme umeanza awamu hii?
Kama wakoloni waliacha umeme kabla ya Uhuru alafu mkatapa Uhuru tangu 1961 hamna umeme vijijini basi bora wakoloni warudi.
Kuombea watu mabaya hakujaanzishwa na Lissulissu yuko ccm siku hizi!!!!!
"Kipi cha ziada"?Kwanini uamini hapa ndio penyewe? Unatishwa na maneno? Majaliwa ambaye ndio waziri mkuu kasema Rais yupo sawa! Sio tu mgonjwa yupo sawa! Unataka kipi cha ziada?
Mbona sasa unajichanganya hivi?Sasa mzee kama hao wanachochea hizi tetesi si watu muhimu kwanini ajitokeze kwa influence zao? Kwahiyo kesho Pierelikwidi akisema Rais kafa itabidi JPM amjibu pia?
Alafu narudia wewe unaheshima zako humu, Tundu Lissu ni mtu wa kawaida? Ndiye aliyekuwa mpinzani mkuu wa JPM uchaguzi uliopita hivyo maneno yake yana uzito. Wakikosea jipange kuwazodoa pia! No double standards.