Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

uzushi pia ni jambo baya sana,hudhalilisha watu na kuwakosea wengine uaminifu.

kama umekuwa mtulivu,leo wanazusha amefia dsm wakati walisema amepelekwa india.

all in all Mungu ndiye anaona ulicho nacho moyoni.
Ujinga huu mliuanza nyinyi CCM
 
Umoja, utu katika nchi hii tumefikia hatua mbaya sana kwakweli
FB_IMG_1615580550162.jpg
 
Shida ni kwamba yeye ni mwanamke, kiongozi wa nchi lazima awe mwanaume. Yeye labda aendelee kuwa msaidizi
Sauti ya ushamba? Sijui kama mama huyu anafaa, lakini kwa jumla nchi zilizoongozwa na wanawake waliendeea vizuri. Kumbuka Merkel-Ujerumani, Fernández de Kirchner - Argentina,
Sheikh Hasina- Bangladesh, Erna Solberg-Norway
na wa zamani Rose Christiane Raponda- Gabon, Indira Gandhi-India, Golda Meir-Israel, Ellen Johnson Sirleaf-Liberia, Thatcher-Uingereza
Hii ni mifano michache tu!

Kuna tatizo gani kuhusu wanawake?
 
Kulikosekana wanaume wakuongoza taifa kwenye hizo nchi tajwa, bongo haijawahi kukosa na haitakaa itokee
 
Wewe ni mgeni hapa Tanzania,wakati Kabudi anamfananisha na Mungu na yeye hakukemea hio hukuwepo,bila kusahau Lugola akimuita Yesu je?
Kwani si Nyinyi ndio humuua huku mitandaoni na kisha hufufuka? Hamna tofauti na wao wanaompa vyeo visivyo vyake.
 
Kwahiyo umeme umeanza awamu hii?
Kama wakoloni waliacha umeme kabla ya Uhuru alafu mkatapa Uhuru tangu 1961 hamna umeme vijijini basi bora wakoloni warudi.

See!?? You're asking a totally awkward question. Tatizo la umeme lilikuwepo ama halikuwepo!??? Laptop zinatumia umeme au hazitumii!??? If the goverment had donated the promised laptops -- ukweli si uongo -- dunia nzima ingeshangaa & kustaajabu sana kupita maelezo!!! Hata doktaz wanajua first priority ya tiba lazima anapewa mgonjwa wa figo ama ini kuliko mgonjwa aliyechubuka mguu kwa ajali. Umeelewa, ama niongeze volume kidogo!???
 
Sasa mzee kama hao wanachochea hizi tetesi si watu muhimu kwanini ajitokeze kwa influence zao? Kwahiyo kesho Pierelikwidi akisema Rais kafa itabidi JPM amjibu pia?

Alafu narudia wewe unaheshima zako humu, Tundu Lissu ni mtu wa kawaida? Ndiye aliyekuwa mpinzani mkuu wa JPM uchaguzi uliopita hivyo maneno yake yana uzito. Wakikosea jipange kuwazodoa pia! No double standards.
Mbona sasa unajichanganya hivi?
Pierelikwidi, mara Tundu Lissu. Sielewi unaeleza nini hasa!
 
Back
Top Bottom