Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Ila kwa uhalisia kama Rais angekuwa katika hali kama hiyo inayosemwa ni dhahiri kungekuwa na taharuki na isingewezekana kamwe kwa waziri Mkuu kuendelea na ziara kama hizo.

I BET THE PRESIDENT IS FULLY FIT AND FINE

Aisee ndio maana kuna bet hapo
 
Labda walishaandika, utajuaje!!
 
Labda alisema bila kuwa na uhakika. Ila siamini kama yy hakuwa na taarifa za ugonjwa
 

Shoka moja mkuu mbuyu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jf bana kupata aibu dakika sifur tu
 

Huyo tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…