Kwa hiyo wafanye hivyo kwa sababu mitandaoni watu wanasema haya!?Kama rais ni mzima, kwa nini inakuwa mgogoro mkubwa sana kwa watu wa serikali kumuonesha huyu hapa Magufuli mzima wamalize uvumi kwamba ni mgonjwa?
Wanasubiri nini kufanya hivyo? Wanasubiri msaada wa wahisani?
Unaamini hayo maigizo .... Inawezekana hayuko hoi kama inavyosemwa lakini kwa kutumia akili tu ya kawaida, something is not right. Imagine hata akiwa Chato kwenye mapumziko huwa hazipiti siku mbili hajaonekana, iweje leo anapiga week 3 bila kuonekana.Ila kwa uhalisia kama Rais angekuwa katika hali kama hiyo inayosemwa ni dhahiri kungekuwa na taharuki na isingewezekana kamwe kwa waziri Mkuu kuendelea na ziara kama hizo.
I BET THE PRESIDENT IS FULLY FIT AND FINE
Magufuli anavyopenda kujimwambafy angekuwa mzima angeshajishebedua kwenye ma TV.Rais hawezi kufanya kwa matakwa ya wahuni wachache wa mitandaoni kama kina Lisu
HATUMUOMBEI KIFO BHNA! ALISEMA ANA NDOTO YA KUSIMAMIA MALAIKA! NDO SJAJUA VIZURI.. 👀Kifo unachomuombea mwenzio chaweza kukurudia mwenyewe
Maendeleo hayana vyama
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu John Pombe Joseph Magufuli ❤🇹🇿👍✌🙏
Hatuliombei taifa la Tanzania mabaya.Asante Mungu mtukufu, serikali imeshasema sasa endeleeni kuongea upuuzi wenu, watu wanaoliombea mabaya taifa letu Mungu awasamehe
Wanasubiri apone kwanza?Atakuja mwezi ujao
Bado wana hasira za "ni yeye 2020" matokeo akaambulia kura kiduchuu!Hivi nyinyi mnao mbishia hata Waziri mkuu mna lengo gani?
Mazee...mi wala huwa siwaambii. Nagonga ignore tu halafu naendelea na mengine.Hapo ndipo uwezo wako ulipoishia.
Nakupeleka ignore list sina muda wa kujishusha kumtukana guluguja ngumbaru asiye na ubongo wala uti wa mgongo.
Kuanzia hapa sitaona post yako yoyote.
Kwa jinsi anavyopenda kamera lazima angeteua mtu na kumuapishaKama kaweza kuongea na waziri mkuu na kakanusha huo uvumi anashindwaje kukanusha hadharani.
Mkuu ushaambiwa raisi yupo ni mzima na anaendelea na majukumu. Ukikubaliana na waziri mkuu wa nchi yako utapoteza nn? Angekuambia raisi ni mgonjwa yu mahututi hapo usingebisha na ungesambaza habari kwa kumtumia yeye kama reference, ni vile amesema usilotaka kusikia.Unaamini hayo maigizo .... Inawezekana hayuko hoi kama inavyosemwa lakini kwa kutumia akili tu ya kawaida, something is not right. Imagine hata akiwa Chato kwenye mapumziko huwa hazipiti siku mbili hajaonekana, iweje leo anapiga week 3 bila kuonekana.
Hivi nyinyi mnao mbishia hata Waziri mkuu mna lengo gani?
Siku hizi hawana zile mbwembwe za kupigiana simu kwenye mikutano na bwana mkubwa kuwasabahi washiriki wa mkutano.Wanasubiri apone kwanza?
Mwanakijiji, unataka kila utokeapo huu uzushi/uvumi wawe wanajitokeza kutoa neno?Asante Majaliwa; majibu yako ni kuwa Rais ni mzima wa afya na anaendelea na kazi zake. Mnafanya makosa kuacha habari hizi ziwe zinatokea kila baada ya muda fulani. Sijui kwanini.... inawezekana ni security operation mnaifanya lakini hamlitendei taifa haki. Nashukuru swali langu la juzi limejibiwa na maisha yanasonga mbele. Lakini bila Rais mwenyewe kuonekana ni wachache wataamini kauli yako (mimi si mmojawapo). Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Wabariki Watanzania!