kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,341
Kwa hiyo wafanye hivyo kwa sababu mitandaoni watu wanasema haya!?Kama rais ni mzima, kwa nini inakuwa mgogoro mkubwa sana kwa watu wa serikali kumuonesha huyu hapa Magufuli mzima wamalize uvumi kwamba ni mgonjwa?
Wanasubiri nini kufanya hivyo? Wanasubiri msaada wa wahisani?