Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

Siku zote uongo huwa unapanda lift..ukweli huwa unapanda ngazi..uongo ni rahis kueneo lakin mwisho wa siki ukweli utajidhihiri..kwa mfano kun ukweli unafichwa tena kwa garama kubwa sasa hivi ila mda si mrefu mambo yatakuwa hadharan..nimemshangaa sana Majaliwa jana
 
Kufa mkuu kila mtu atakufa, ogopa Sana kujaza mawazo yako vitu HASI, kila neema, dhambi, utajiri, umakini, nk huanzia mawazoni mwetu....kufa kwa mtu yoyote hakuongezi wala kupunguza kitu kwangu au kwako...hapo ulipo unajua utakufa Sana ngapi?
Sasa kwanini mnapinga sana juu ya kuugua au kufa kwa huyo mtu??
 
Hata kama majaliwa alitaka kutuondolea hofu. but thatkind of lie was too much. Haya Sasa rumors has it he has passed away. How is going to stand before us? Does he have any expectations that people will believe anything coming from his mouth again?
 
It just doesnt make sense.
 
Mabibi na mabwana hakuna kilichokuwa bora kuliko ukweli. Pia ni sahihi kuwa hakuna kilichokuwa fyongo kama uongo.

Kama mtu mzima haipendezi hata kidogo kuwa mwongo kama isivyopendeza kudanganywa.

Tufike mahali kila mtu na awajibishwe sawia na kauli zake bila ya kujali wala kuangalia makunyanzi yake.

Haipo sababu yoyote nzuri ya kuwa mwongo. Uongo hauna nafasi popote pale.

Hatuwezi kuendelea kuwa watu wa kudanganyana au kupotoshana kama watoto wadogo hadi Yesu Kristo atakapo rudi.

Hivi ile miiko ya kuwa: "nitasema kweli daima fitina kwangu mwisho" aliondoka nayo Mwalimu (rip).

Tuwe tayari kumwajibisha yeyote kwa uongo wake siku yoyote huo ukibainika.

Miiko huzingatiwa.

Ninawasilisha
Mkuu,

Hapo ni ".... fitina kwangu MWIKO", na siyo "fitina kwangu MWISHO".
 
Mabibi na mabwana hakuna kilichokuwa bora kuliko ukweli. Pia ni sahihi kuwa hakuna kilichokuwa fyongo kama uongo.

Kama mtu mzima haipendezi hata kidogo kuwa mwongo kama isivyopendeza kudanganywa.

Tufike mahali kila mtu na awajibishwe sawia na kauli zake bila ya kujali wala kuangalia makunyanzi yake.

Haipo sababu yoyote nzuri ya kuwa mwongo. Uongo hauna nafasi popote pale.

Hatuwezi kuendelea kuwa watu wa kudanganyana au kupotoshana kama watoto wadogo hadi Yesu Kristo atakapo rudi.

Hivi ile miiko ya kuwa: "nitasema kweli daima fitina kwangu mwisho" aliondoka nayo Mwalimu (rip).

Tuwe tayari kumwajibisha yeyote kwa uongo wake siku yoyote huo ukibainika.

Miiko huzingatiwa.

Ninawasilisha
Kwa MATAGA, uongo ni ibada..
Ni kama mwili na damu
 
Hata kama majaliwa alitaka kutuondolea hofu. but thatkind of lie was too much. Haya Sasa rumors has it he has passed away. How is going to stand before us? Does he have any expectations that people will believe anything coming from his mouth again?
Mkuu, kwa upendo na unyenyekevu mkubwa, nakusihi UWE NA AKIBA YA MANENO.
 
Ila kwa uhalisia kama Rais angekuwa katika hali kama hiyo inayosemwa ni dhahiri kungekuwa na taharuki na isingewezekana kamwe kwa waziri Mkuu kuendelea na ziara kama hizo.

I BET THE PRESIDENT IS FULLY FIT AND FINE
You won the bet
 
For sure I don't understand what is wrong in this government
Imagine DC chalamilla made the same statement, few hours later Ambassador Kipilimba and later Majaliwa
What were they trying to prove to us?

Why telling lies at first place. they could have kept quite as they were.
Pretty much the country is on autopilot mode at the moment.
 
Back
Top Bottom