maiyanga1
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 1,340
- 1,832
Hii hospitali imechelewa kukamilika kwa sababu serikali iliyopita ilikuwa ya awamu ya tano, serikali makini ya awamu ya sita itaikamilisha haraka ndani ya siku kumi na tano tu.Kwa hiyo iharakishwe kukamilika ili Rais aizindue tarehe 9/December!
Hizo ni akili au matope?
Hospitali inapaswa kujengwa kwa lengo la kutoa huduma kwa wananchi na sio kufikia matamanio ya kuzinduliwa na mtawala ili kumpa sifa.
Serikali itoe pesa, wakandarasi wa uhakika wawepo kazini na wataalamu wapewe nafasi ya kufanya kazi zao pasipo kukimbizwa.