Ajiuzulu yeye u PM akajiajiri.Ni aibu kwa mtu anayekula na kulala bure, kazi yake kubwabwaja tu majukwaani akiniambia nijiajiri.
Sikusomea kuziba pancha mimi.
Anyway mitano tena.
Waziri mkuu ambaye pia anapigiwa upatu wa kuwania urais wa JMT ifikapo 2025 amewataka vijana kuacha kuitegemea serikali badala yake wajiajiri wenyewe.
"Ajira ni chache, muhimu tujiajiri wenyewe maana ajira sio tu ya kushika kalamu ofsini bali shughuli unayofanya kujiingizia kipato cha kujilisha na familia yako. Ukiziba pancha ukapata pesa ni ajira, ukibrashi viatu ni ajira, ukikata nywele za watu saloon ni ajira". Amesema majaliwa
Ulimuona mtoto wa mwenda zake alivyo bonge nyanya,anaweza akajiajiri nini yule?Watoto wake wamejiajiri?
Tumuombe waziri mkuu wetu ss hatuna mitaji ndiomaana tunashindwa kujiajiri lakini kwakuwa yeye ameajiriwa ajiuzuru na atoke kwanye kuajiriwa akajiajiri awe mfano yeye na familia yake na familia zawatu waina kama yeye mfano kina ridh mgimwa pinda lowasa nk hii nchi silazima tuwaajiri wenyeweUlimuona mtoto wa mwenda zake alivyo bonge nyanya,anaweza akajiajiri nini yule?
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Maneno Ya watawala walioshindwa kaziWaziri mkuu ambaye pia anapigiwa upatu wa kuwania urais wa JMT ifikapo 2025 amewataka vijana kuacha kuitegemea serikali badala yake wajiajiri wenyewe.
"Ajira ni chache, muhimu tujiajiri wenyewe maana ajira sio tu ya kushika kalamu ofsini bali shughuli unayofanya kujiingizia kipato cha kujilisha na familia yako. Ukiziba pancha ukapata pesa ni ajira, ukibrashi viatu ni ajira, ukikata nywele za watu saloon ni ajira". Amesema majaliwa
Serikali ndo inaweza fanya watu wake wawe matajiri au masikiniDuuh kumbe ni nani anawajibika kuandaa sera na mazingira ya hao mnaotaka wajiari??
Mimi Urais napendekeza apewe Askofu GwajimaWaziri mkuu ambaye pia anapigiwa upatu wa kuwania urais wa JMT ifikapo 2025 amewataka vijana kuacha kuitegemea serikali badala yake wajiajiri wenyewe.
"Ajira ni chache, muhimu tujiajiri wenyewe maana ajira sio tu ya kushika kalamu ofsini bali shughuli unayofanya kujiingizia kipato cha kujilisha na familia yako. Ukiziba pancha ukapata pesa ni ajira, ukibrashi viatu ni ajira, ukikata nywele za watu saloon ni ajira". Amesema majaliwa
Uzoefu unaonyesha kwamba yule anayesanifu watu kwa kuwaambia wajiajiri yeye mwenyewe utakuta ktk maisha yake hajawahi kujiajiri hata kwa dakika moja na hawezi kamwe kujiajiri. Very stupid people.