Waziri Mkuu Majaliwa: Ajira ni chache, vijana mjiajiri

Sioni faida tangu alivyoingia madarakani sijui ataonyesha mchango upi kwa taifa yeye binafsi zaidi ya kututhibishia yeye ni mnafiki asiyejua kutatua changamoto za watanzania
 
Yeye katika maisha yake hajawahi kujiajiri hata kwa sekunde moja. Leo hii akitoka hapo anategemea kiinua mgongo cha uspika na kinga feki ya kutoshtakiwa. Huyu mtu ni bogus kabisa.
 
Watoto wake wamejiajiri?
 
Ulimuona mtoto wa mwenda zake alivyo bonge nyanya,anaweza akajiajiri nini yule?

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Tumuombe waziri mkuu wetu ss hatuna mitaji ndiomaana tunashindwa kujiajiri lakini kwakuwa yeye ameajiriwa ajiuzuru na atoke kwanye kuajiriwa akajiajiri awe mfano yeye na familia yake na familia zawatu waina kama yeye mfano kina ridh mgimwa pinda lowasa nk hii nchi silazima tuwaajiri wenyewe
 
M
Maneno Ya watawala walioshindwa kazi
 
Haya mambo ya kujiajiri kwa kila kijana hayapo!! Tunataka viongozi wetu wafikirie nje ya box hili kuhakikisha vijana wanajipatia kipato na kulipa kodi kwa ajili ya maendeleo ya taifa lao. Kama serikali ikitaka vijana watumikie matumbo yao bila tija kwa taifa na hasara kwa taifa na si kwa vijana hao.
Serikali ni lazima itatue tatizo la ajira.
 
Mimi Urais napendekeza apewe Askofu Gwajima
 
Uzoefu unaonyesha kwamba yule anayesanifu watu kwa kuwaambia wajiajiri yeye mwenyewe utakuta ktk maisha yake hajawahi kujiajiri hata kwa dakika moja na hawezi kamwe kujiajiri. Very stupid people.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…