Hapo sasa, nashangaa kipindi hiki kuelekea uchaguzi ndio wanajifanya kushangaa na kutoa maagizo ya haraka😂😂SASA kama hapo mkuranga tuu hali ipo hivyo akija huku Jitombashisho shinyanga vijijini si atajinyanga huyu majaliwa???
Uchumi wa kati wa chini wanafunzi wanakaa chini!Waziri mkuu mh Majaliwa amefanya ziara ya kushtukiza katika moja ya shule za wilaya ya mkuranga na kukuta wanafunzi wa msingi na sekondari wamekaa chini.
Mh Majaliwa ameshangazwa na hali hiyo na kutu muda wa wiki mbili madawati yapatikane na watoto wote wakae.
Majaliwa amesema wilaya hiyo ina viwanda zaidi ya 70 sasa inakuwaje DC na DED wanashindwa kutumia fedha za CSR kununulia madawati.
Chanzo: ITV habari!
Propaganda ya awamu ya 5 ni kuwa Rais anafanya kila kitu .... anatoa pesa, anajenga, nasomesha bure nk. .... sasa inawezekana alisahau kuwapelekea pesa za madawati huko.Hili ndiyo huwa linanishangaza sana unakuta shule imezungukwa na msitu lakini haina madawati.
Haya ndio matunda ya five years of HAPA KAZI TU! Tukiwaambia tuna mabingwa wa utapeli wa kisiasa, mnabisha! Kama angekwenda mwenyewe kitu cha kwanza angeuliza mbunge wa eneo hilo ni nani. Akiambiwa ni wa Upinzani, basi anawatukana wananchi kuwa hawapati maendeleo kwa sababu walichagua vibaya - walichagua mpinzani. Akiambiwa ni m-CCM, basi anafanya political gimmicks zake kwa kumtumbua mkurugenzi ili kuonesha kuwa ni mchapa kazi na amekasirika!! Uchapa kazi ni kufuatilia kila mwaka kwa kutaka uletewe ripoti kupitia channels za kiutawala na kuchukua hatua kiutawala. Kwa sababu mkuu wa nchi hawezi kwenda kila jimbo au halmashauri kuona nani anafanya nini. Kuna channels za kiutawala. Hiki alichofanya huyu WM ni mtindo ule ule wa bosi wake, political gimmick, tofauti ni kwamba hana mamlaka ya kutumbua!!! Tunasubiri miaka mingine mitano ya maendeleo hayana chama!! HAPA KAZI TUKwani Serikali ya CCM haijafika au haipo pia huko Mkuranga Mkuu? Sasa kama hapa tu Mkuranga hali ni hiyo je, huko Kyaka Nkunde kutakuwaje?
Maccm ni majitu majinga sn...... Nayo eti yanashangaa wkt nchi nzima iko hivoKhaaah ccm kwa kupretend[emoji134][emoji134][emoji134]
Anashangaa nini sasa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfumo mbovu kuwahi kutokea toka uhuruPropaganda ya awamu ya 5 ni kuwa Rais anafanya kila kitu .... anatoa pesa, anajenga, nasomesha bure nk. .... sasa inawezekana alisahau kuwapelekea pesa za madawati huko.
Aende Kisarawe akaone pia wanakaa chini baadhi ya shuleWaziri mkuu mh Majaliwa amefanya ziara ya kushtukiza katika moja ya shule za wilaya ya mkuranga na kukuta wanafunzi wa msingi na sekondari wamekaa chini.
Mh Majaliwa ameshangazwa na hali hiyo na kutu muda wa wiki mbili madawati yapatikane na watoto wote wakae.
Majaliwa amesema wilaya hiyo ina viwanda zaidi ya 70 sasa inakuwaje DC na DED wanashindwa kutumia fedha za CSR kununulia madawati.
Chanzo: ITV habari!
Haya ndio matunda ya five years of HAPA KAZI TU! Tukiwaambia tuna mabingwa wa utapeli wa kisiasa, mnabisha! Kama angekwenda mwenyewe kitu cha kwanza angeuliza mbunge wa eneo hilo ni nani. Akiambiwa ni wa Upinzani, basi anawatukana wananchi kuwa hawapati maendeleo kwa sababu walichagua vibaya - walichagua mpinzani. Akiambiwa ni m-CCM, basi anafanya political gimmicks zake kwa kumtumbua mkurugenzi ili kuonesha kuwa ni mchapa kazi na amekasirika!! Uchapa kazi ni kufuatilia kila mwaka kwa kutaka uletewe ripoti kupitia channels za kiutawala na kuchukua hatua kiutawala. Kwa sababu mkuu wa nchi hawezi kwenda kila jimbo au halmashauri kuona nani anafanya nini. Kuna channels za kiutawala. Hiki alichofanya huyu WM ni mtindo ule ule wa bosi wake, political gimmick, tofauti ni kwamba hana mamlaka ya kutumbua!!! Tunasubiri miaka mingine mitano ya maendeleo hayana chama!! HAPA KAZI TU
Hii ianzishie uzi mkuu utasaidia sanaSio huko tu hata hapa hapa Dar shule ya msingi Mzambarauni iliyopo Jimbo la Ukonga wanafunzi wanakaa chini.
Manafiki haya mazee matatizo ya eli mu nchi yanajulikana sana na sio shule hiyo tu , hapo muheshimiwa Yuko kwenye sanaa za maonyesho ya awamu ya tano maana kwa maigizo hawajambo.Eti ndio kashituka.
Manunuzi ya midege iliyoanikwa pale JKNIA kama nsansa na michembe, ingeweza kumaliza matatizo yote ya uhaba wa madawati, vyoo, vyumba vya madarasa, ofisi na samani za Walimu, chaki hapa nchini.
Pia ingelipa nyongeza za mishahara ya Walimu na mihela mingi ikabaki.
C walisema wamevuka lengo ishu ya madawati wameimaliza????Waziri mkuu mh Majaliwa amefanya ziara ya kushtukiza katika moja ya shule za wilaya ya mkuranga na kukuta wanafunzi wa msingi na sekondari wamekaa chini.
Mh Majaliwa ameshangazwa na hali hiyo na kutu muda wa wiki mbili madawati yapatikane na watoto wote wakae.
Majaliwa amesema wilaya hiyo ina viwanda zaidi ya 70 sasa inakuwaje DC na DED wanashindwa kutumia fedha za CSR kununulia madawati.
Chanzo: ITV habari!
CCM Mpya wanahaha na kuhangaika dakika za majeruhi kila kona ya nchi lakini wananchi hawashawishiki na hatua hizi kuelekea 2020 tayari wanasema , Sasa Basi !
Tulia Trust was founded in 2015 by Hon. Dr. Tulia Ackson, Deputy Speaker, Parliament of the United Republic of Tanzania About Us - Tulia Trust
Viongozi wa chini yake.. wanaonesha ni kuna wasiwo na ujuzi.. wa kazi zao
Taarifa na Maarifa ya Uendeshaji wa Halmashauri za Mitaa - Mwanza
Ngazi ya Tarafa. Kazi za Afisa Tarafa. Katika kurahisisha mawasiliano Afisa Tarafa ni kiungo kati ya ngazi ya Kata na Halmashauri kwa upande mmoja na Serikali
Huko Mwanza hali hiyo niliiona Pamba sekondari, meli mmoja akaniambia kuwa kama mzazi anataka kuchonha dawati kwa mwanae lazima apitie kwa mkuu wa wilaya ampe ruhusa na alikabidhi huko kwa mkuu wa wilaya!.Sio huko tu hata hapa hapa Dar shule ya msingi Mzambarauni iliyopo Jimbo la Ukonga wanafunzi wanakaa chini.