Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 8,797
- 15,762
Unauhakika D biteko kuwa vice PM ni kwasababu majaliwa alifeli?, Unasafari ndefu sana sanaLicha ya kufeli kwenye majukumu yake ya uwaziri mkuu hadi kuteuliwa Naibu Waziri mkuu amfundishe kazi
Majaliwa alifeli ndio maana akawekwa mtu wa kumfunza kazi na amejifunza kweli kweli.Unauhakika D biteko kuwa vice PM ni kwasababu majaliwa alifeli?, Unasafari ndefu sana sana
Haya ngoja nikubaliane na wewe ili siku nyingine ukijua zaidi turudi kwenye huu uzi , AhsanteMajaliwa alifeli ndio maana akawekwa mtu wa kumfunza kazi na amejifunza kweli kweli.
wanashangaza kwa kweli huyo 1St lady ana mafao ya wenza wa wastaafu analipwa 60% ya mshahara wa rais aliye madarakani..PM mstaafu nae analipwa 80% ya mshahara wa PM aliye madarakani na hapo bado posho na maruprupu mengine kwa asilimia hizo hizo..sasa hawa wanataka wapewe nini waridhike.!Ila watu wa kusini sijui wana nini? Mbona aibu za reja reja zina epukika kabisa?
1St Lady kuwa mgonga meza.
PM anataka kuwa mgonga meza bila cheo. Lol
Ulafi wa madaraka ni Uraibu, kuliko neno lenyewe. Uwiiiih.
Huyu mzee kichwani mtupu hajui hata kulinda heshima yake sijui hana wajukuu akaleeSometimes huwezi jua kama ni njaa au Udumavu wa Akili.
Kimuktadha huyu jamaa ilitakiwa ajiuzuru baada ya Samia kuapa, nakuanza kuleta sera tofauti na Alizokua anatekeleza Yeye na JPM.
Bichwa boga anajivunjia heshima kama Ndugai tu … hawajui muda gani wa kuondoka ukumbiniNimemdharau sana!
Tamaa kali sana...
Ina maana hawezi kufanya kitu kingine wakati ana resources zote na anatunzwa mpaka afe..duh..hahaha
Hata hatuelewiii. Lolwanashangaza kwa kweli huyo 1St lady ana mafao ya wenza wa wastaafu analipwa 60% ya mshahara wa rais aliye madarakani..PM mstaafu nae analipwa 80% ya mshahara wa PM aliye madarakani na hapo bado posho na maruprupu mengine kwa asilimia hizo hizo..sasa hawa wanataka wapewe nini waridhike.!
Njaa mbaya sanaDah! Angestaafu kulingana na wadhifa alio nao angeheshimika sana, tofauti na hapo tafsiri itakuwa haridhiki na alivyo navyo.
Ndiye Waziri Mkuu ajaye.... hawajui muda gani wa kuondoka ukumbini
Hakuwa na malengoHivi shida iko wapi,mtu anatunzwa na serikali mpaka anadanji lakini bado tu anataka kuendelea kula
Huyu naye anajidhalilisha, umeshakuwa waziri mkuu miaka 10 unahangaika nini tena na ubunge. Fanya kitu kingine, kwani lazima uwe mbunge? UNAJIAIBISHA WEWE MAJALIWA.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ametangaza kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa mkoani Lindi, amesema hayo akilihutubia Bunge kwa mara ya mwisho leo Juni 26, 2025 jijini Dodoma.
"Ninawashukuru sana wana Ruangwa kwa kuniunga mkono na kunipatia ushirikiano katika kipindi chote nilipokuwa nikitekeleza majukumu ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ninatambua wakati mwingi nimekuwa nje ya jimbo nikilitumikia taifa lakini wana Ruangwa wameendelea kuniunga mkono. Nitumie nafasi hii kusema asanteni sana na ninamuomba Mwenyezi Mungu azidi kuimarisha mshikamano uliopo kati yetu sote. Ninaomba kuwajulisha kuwa ninakuja kuchukua fomu ya kuomba ridhaa yenu tena."
Soma, Pia: Ruangwa wamlipia Fomu ya Urais Dkt. Samia na Ubunge Majaliwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ametangaza kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa mkoani Lindi, amesema hayo akilihutubia Bunge kwa mara ya mwisho leo Juni 26, 2025 jijini Dodoma.
"Ninawashukuru sana wana Ruangwa kwa kuniunga mkono na kunipatia ushirikiano katika kipindi chote nilipokuwa nikitekeleza majukumu ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ninatambua wakati mwingi nimekuwa nje ya jimbo nikilitumikia taifa lakini wana Ruangwa wameendelea kuniunga mkono. Nitumie nafasi hii kusema asanteni sana na ninamuomba Mwenyezi Mungu azidi kuimarisha mshikamano uliopo kati yetu sote. Ninaomba kuwajulisha kuwa ninakuja kuchukua fomu ya kuomba ridhaa yenu tena."
Soma, Pia: Ruangwa wamlipia Fomu ya Urais Dkt. Samia na Ubunge Majaliwa
Malengo yake hayajatimiawanashangaza kwa kweli huyo 1St lady ana mafao ya wenza wa wastaafu analipwa 60% ya mshahara wa rais aliye madarakani..PM mstaafu nae analipwa 80% ya mshahara wa PM aliye madarakani na hapo bado posho na maruprupu mengine kwa asilimia hizo hizo..sasa hawa wanataka wapewe nini waridhike.!