PreGE2025 Waziri Mkuu, Majaliwa atangaza kugombea tena Ubunge wa Ruangwa akiaga Bunge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hajawah kua na akili huyu ni mfumo tu ulimbeba.
 
Kwani katiba ya JMT inasemaje kuhusu hilo?
 
Acha kujinyanyapaa wewe - Putin wa Urusi ana miaka mingapi? Trump wa USA ana miaka mingapi na wako madarakani!!!!

Kinachokushinda tulia anayekiweza akifanye
Braza nilitegemea utu uzima ulionao ukiona comment za wapwa uwe kimya ..........sasa jichanganye.........nikupige kama ngoma...............ao uliowataja wanafanya kazi gani nzuri zaidi ya umbu mbu mbu
 
Hii nayo ni habari?
 
Dah! Angestaafu kulingana na wadhifa alio nao angeheshimika sana, tofauti na hapo tafsiri itakuwa haridhiki na alivyo navyo.
We unadhani kutoka katika huo ni mfumo kuna mtu anapenda kuacha yale malupulupu na kula keki
 
Naunga mkono agombee, ili kupunguza gharama kwa serikali. Akiendelea kuwa waziri mkuu gharama zitabaki hizo hizo za kugharamikia viongozi wa serikali. Waziri Mkuu mstaafu analipwa !
Duh!...hii mpya aisee...

Ni bora pia tusichague Marais wapya Ili kupunguza gharama maana wakistaafu watalipwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…