Waziri Mkuu Majaliwa, pokea makadirio yangu kibanda cha VETA Tabora

Basi acheni kufanya kazi na wanasiasa maana wanavua nguo taaluma zenu.
Hapa mafundi naona mnajaribu kuteteana ili kulinda uozo wenu. Nyie ni wezi hadi mifuko ya simenti leo mshindwe kwenye hela.
Msimamizi wa huo mradi ni mwalimu wala sio fundi. Ndio ujue namna Fosi Akaunti ilivyokuwa na shida.

Amandla...
 
Muda wote huu umepewa muda wa kuchambua BOQ iliyopo-umeshindwa.
Kibabda chako cha milioni 7- umeshindwa kuleta mchanganuo wa vifaa.
Ndio maana naomba kamjengee Waziri Mkuu kibanda cha nyasi, atakupa wilaya.
Tenda wakiwapa watu wa nje mnalialia kumbe mkipewa ni kufanya upuuzi tu. Ndo nyie mliotimliwa zanzibar na dr. Mwinyi kwa ukandaras wenu wa ovyo
 
Msimamizi wa huo mradi ni mwalimu wala sio fundi. Ndio ujue namna Fosi Akaunti ilivyokuwa na shida.

Amandla...
Wote ni kusweka ndan tu hadi watakapopata akili namna ya kupresent vitu unaposikia kiongozi wa nchi anakuja kukagua mradi. Tunachezeana sana likija lakukupata ndo haya eti oooh angekaa nao private kuwasikiliza.
 
Unamsweka ndani kwa sheria ipi?

Amandla ..
 
Tenda wakiwapa watu wa nje mnalialia kumbe mkipewa ni kufanya upuuzi tu. Ndo nyie mliotimliwa zanzibar na dr. Mwinyi kwa ukandaras wenu wa ovyo
Mtu wa hovyo, mwanasiasa we, huna akili, ujenzi utaujuaje?
 
Wote ni kusweka ndan tu hadi watakapopata akili namna ya kupresent vitu unaposikia kiongozi wa nchi anakuja kukagua mradi. Tunachezeana sana likija lakukupata ndo haya eti oooh angekaa nao private kuwasikiliza.
Unaongea kama unavyo jamba.
Unanuka kwa kukosa ufahamu wa kitu chochote katika fani ya ujenzi.
Mwanasiasa we!
 
Bado facility za chooni hujaziinclude mhandisi
 
Wote ni kusweka ndan tu hadi watakapopata akili namna ya kupresent vitu unaposikia kiongozi wa nchi anakuja kukagua mradi. Tunachezeana ◇`sana likija lakukupata ndo haya eti oooh angekaa nao private °♧♧kuwasikiliza.
Namini una akili timamu kwa maana unaelewa kitu unachoandika.
Viongozi walituahidi SGR ingekamilika ndani ya miaka mitatu toka 2016.
Mpaka leo safari kwenda Moro ni ndoto.
Hatusikii wewe, Waziri Mkuu wala Rais akitishia kuwaweka ndani Waturuki.
Sasa hao viongizi wetu wakienda pale wananywea?
 
Ni kweli unaweza kujenga kibanda kama hicho hata kwa milion 100, ila kwanini ujenge kwa gharama kubwa wakati inawezekana kujenga kwa gharama ndogo na kwa ubora mzuri tu
Huwezi kujenga kibanda bora kwa gharama ndogo.
 
Darasa linajengwa wa milioni 20, kwa wizi wako ungejenga kwa milioni 200!
Hakika wewe ni tapeli!
Huna hoja , huna facts, na hujui unachoongea.
Zoezi la kupitia BOQ ilyowekwa hapa limekushinda, ungana na wanasiasa wasiojua kitu.
 
Wote ni kusweka ndan tu hadi watakapopata akili namna ya kupresent vitu unaposikia kiongozi wa nchi anakuja kukagua mradi. Tunachezeana sana likija lakukupata ndo haya eti oooh angekaa nao private kuwasikiliza.
Ukiona mwanasiasa anakimbilia kufanya kazi na takukuru wakati vyombo vya kitaalam vipo, ujue ana matatizo ya kimsingi katika uelewa na good governace.
Takukuru si wataalam wa ujenzi.
Simple logic inatka kujua wanaohusika na project nzima hadi mradi ukajengwa ni akina nani na uhusika wao katika design ya project, costing, tendering, award, project supervision mpaka inspection na project acceptance.
Anatokea mtu asiyeelewa mlolongo huo mwishoni kabisa wa mradi na kumsweka ndani mkandarasi, kwa vile ana uwezo huo.
Okay, unamuweka ndani mtu, ni kwa sheria ipi?
Au kwa vile mtu ana madaraka kufanya hivyo na kuyatumia vibaya!
Hii miradi midogo inawaumbua viongozi wetu katika uelewa wa miradi inavyoasisiwa.
Pathetic!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…