Kwa hyo ilibidi waziri kabla ya kushangaa kibanda cha mlinzi kujengwa kwa 12milion ilibidi ashangae v8 kununuliwa kwa mill400!!?Ndugu muhandisi, usifanye watu wajinga,hizo bei za labour charge, unawalipa wachina au Hawa Hawa vijana wa mtaani? Maana huku kwetu hiyo pesa inamaliza kabisa nyumba,sasa hicho ni kinanda,mi naona unaleta story za serikali za kununua V8 kwa milioni 400+
Ukihoji wanasema ndio bei!hawajuhi huku kitaa hizo ndinga tunanunua kwa 200M tu,wao wanaweka dalali,usilete mambo ya kununua peni kwa shilingi elfu kumi!wakati kitaa inauzwa 200.
[emoji1787][emoji1787]