Waziri Mkuu Majaliwa, pokea makadirio yangu kibanda cha VETA Tabora

Waziri Mkuu Majaliwa, pokea makadirio yangu kibanda cha VETA Tabora

Usikute wewe ndiye uliye Jenga hicho Kibanda ,,yaani unataka kutaminisha kwamba Kibanda like ni cha 11 milioni?.

Na umeangalia picha bila kujua square metres?
 
Msioenda shule nyie mijitu wajinga wajinga, mna shida sana.
Hiyi mmewekewa BOQ hapo mkaiweke ukutani, muisalimie kila mkiingia maofisini mwenu.
BOQ ya wizi nani atafutilia! BOQ ya banda la mlinzi inakuwa sawa na BOQ ya msingi wa ghorofa! Wewe ni zaidi ya fisadi na kama kuna mtu anakupa kazi basi huyo ni zaidi ya kilaza!
 
View attachment 2352668
Kwa kawaida nakerwa sana viongzi kuongelea mambo ya kitaalam bila kutafuta ushauri.

Hivi karibuni Mh. Waziri Mkuu alishangazwa kibanda cha Mlinzi katika mradi wa VETA huko Tabora kugharimu Ths 11 million.

Mimi sikushangzwa na gharama lakini nilishangazwa na kauli ya Waziri Mkuu Majaliwa kusema hadharani kuwa pale kuna upigaji!

Nikiwa mhandisi, niliamua kutafuta picha za kazi hiyo na kutenngeneza Rough Estimates za mradi huo kama ungekuwa Dar es Salaam kwa sasa hivi.

Gharama nilizo pata Kwa MKOANI DAER ES SALAAM ni Tsha 11,371,650.0

Kwa vile tabora ni mbali na supplier vifaa vingi , niliamua kuweka factor ya 1.2, hivyo GHARAMA ZA JENGO TABORA KUWA 13,645,980.

Naomba washauri wa Mh Waziri Mkuu wawe wanamtonya kama anakosea.
Gharama za kibanda ni sawa, tena ni pungufu kidogo.

KIBANDA CHA MLINZI VETA , TABORA
S.NoITEMUNITSQUANTITYUNIT COSTCOSTREMARKS
1​
Kuset kibanda na ngazi zotesum20,000
2​
Kuchimba misingim3
3.8​
12,00045,600
3​
Kuweka zege la msingi, nyumba na ngazi
0.2m thickm3
0.45​
180,00081,000
4​
Tofali za kulaza misingim2
21​
37,000777,000
5​
Tofali ngazi za kupandia kibandam2
3.6​
37,000133,200
6​
kuujaza udongo wa murramm3
27.5​
15,000412,500
na kushindilia
7​
kuweka mawe ndani ya msingi na ngazim3
4.5​
35,000157,500
8​
Kumwaga zege la jamvi 150mmm3
4.5​
180,000810,000
9​
Kuset kuta za nyumba, tofali zam2
13.5​
25,000337,500
kusimama 150mm mpaka
beam soffit
10​
Shuttering ya ring beamm2
4.6​
26,000119,600
11​
Kukunja na kuweka nondokg
98​
4,000392,000
12​
Kumwaga zege la beamm3
1.25​
180,000225,000
13​
Tofali za level mtambaa panyam2
13.45​
25,000336,250
na gable
14​
Kufunga wall plate na truss, nanos
5​
1,5007,500
15​
Kufunga fascia board nyumba nzimam
15​
1,50022,500
16​
Kufunga purlins 50x50mmm
120​
8,000960,000
17​
Kupiga bati za IT4 na kofia, kila bati 3.4mnos
38​
65,0002,470,000
18​
Kupiga brandering ya ceilingm2
25​
4,000100,000
19​
Kufix gypsum board ya ceilingm2
25​
6,800170,000
20​
Kujaza uwazi kati ya bati na ukutasum45,000
21​
Fufunga bomba za kupitishasum50,000
Umeme na box za switches
22​
Kufunga frame za madirishanos
2​
150,000300,000
23​
Kufunga frame za milangonos
3​
150,000450,000
24​
Kupiga render za kuta nje na ndanim2
148.5​
2,000297,000
25​
Kupiga plaster nje na ndanim2
148.5​
2,000297,000
26​
Kufunga madirisha ya aluminiumnos
2​
240,000480,000
27​
Kufunga milango mbao ya mkongonos
3​
260,000780,000
28​
Electrical wiring na kufunga switchsum650,000
29​
Kupiga rangi nje na ndanim2
148.5​
3,000445,500
TOTAL11,371,650
NB
1​
Gharama hizi ni za DAR ES SALAAM
2​
Kibanda hiki kiko TABORA, hivyo kwa kusafirisha vifa hivyo kwend TABORA, factor gharama kwa 1.2 ,
3​
Hivyo Gharama ya jengo la VETA , TABORA =13,645,980.00

UPDATE:
Katika makadirio wadau wamenitonya yafautayo
1. Hapo pembeni kuna kichumba ambacho waafikiri ni choo, gharama za kuvuta maji, choo chenyewe na wall tiles inaweza kuongeza gharama kwa arond 1.0 million

2.Kuna floor tiles amnazo sijazigsa kabisa, gharama ambayo tiles kwa nyuma nzima na ngazi inaweza kufikia 1.2million

Hivyo kazi hii ya nyongeza ni Tshs 2,2 million n jumla kuu kwa kazi ya kibanda=Tshs 15,845,980.00

OMBI
Ofisi ya Waziri Mkuu wakimaliza uchunguzi wao wa kitaalam , watuwekee hadharani makadirio yao kwa viwango vya kazi husika ya kibanda cha VETA Tabora(kwa kulinganisha tu)
Gharama hizo na mahesabu yako ni sahihi, lakini inatagemea upumbav ulionao! Ukiwa umefuzu kwa upumbav mahesabu hayo ni sahihi.
 
Tatizo la viongozi huwa hawafanyi deep analysis kabla ya kuja kuzungumza mbele ya raia. Na majengo ya Serikali huwa Yana standard zake ukijenga below standard nako ni shida
Nawe usiwe brainwashed! Standard za serikali ni zipi?
 
BOQ ya wizi nani atafutilia! BOQ ya banda la mlinzi inakuwa sawa na BOQ ya msingi wa ghorofa! Wewe ni zaidi ya fisadi na kama kuna mtu anakupa kazi basi huyo ni zaidi ya kilaza!
Kubali tu kuwa we ni bongolala.
Unayeenda na upepo wa mdundiko lakini mukichwa hakuna kitu.
Kubishana na mtu asiyeenda shule huwa ni matstizo.
 
Gharama hizo na mahesabu yako ni sahihi, lakini inatagemea upumbav ulionao! Ukiwa umefuzu kwa upumbav mahesabu hayo ni sahihi.
Unaongea kama umtoka kutahiriwa.
Pitia hayo mahesabu na uweke gharama zako si uharo wako.
 
Daaah, braza naona umechafukwa nyongo.
Watu wa aina hii wanaendelea kuandika hapa kwa sababu ya uvumilivu wetu. Ktk netiquette tulistahili kuwaondoa watu wanaoleta hadithi za kijinga-jinga kama hizi. Nyumba gani ya serikali imejengwa kwa BQ za aina hii? Au ameangalia vitabu vya darasani. Ni hawa hawa wanadhalilisha taaluma zao mitaani.
 
Kubali tu kuwa we ni bongolala.
Unayeenda na upepo wa mdundiko lakini mukichwa hakuna kitu.
Kubishana na mtu asiyeenda shule huwa ni matstizo.
Sijaenda shule za wizi! Serikali inajenga madarasa kwa milioni 20 sasa hicho kibanda cha choo kiwe milioni 11.
Huenda umehudhuria darasani lakini hukuelimika! Labda umesomea ujambazi!
 
Sijaenda shule za wizi! Serikali inajenga madarasa kwa milioni 20 sasa hicho kibanda cha choo kiwe milioni 11.
Huenda umehudhuria darasani lakini hukuelimika! Labda umesomea ujambazi!
Unakaa kibanda ulichokandika kinyesi cha kwako na cha baba mkwe.
Haya mambo tuachie sisi.
 
Kwani hapo kuna hesabu? Au una maana gani? Kila unapoona nambari unasema kuna hesabu! Puppy-brain!
Nyie watu, mtu kaweka mahesabu yake na tunaysina.
Mtu mwenye akili za kumtosha angeweka mahesabu yake mbadala.
 
Unakaa kibanda ulichokandika kinyesi cha kwako na cha baba mkwe.
Haya mambo tuachie sisi.
Nyie ndiyo watu wa ku-copy na ku-paste, hujui nini cha ku-copy na wapi pa ku-copy! Mburula rudi shule kajielimishe!
 
Makndarasi waliosajiliwa na serikali kwa hiyo ni mafisadi.
Kwa ujinga wenu hamuwaoni mafisadi wanaonunua ndege kwa pesa taslimu na wanaojenga SGR , wala wanaojenga JNHHP Stiglaz.
Pambaf enu.
Unaanza kurukia nje ya mjadala huu. Ndege imetoka wapi tena? Stick to your gun!
Unasikia ikizungumzia force account wewe unaanza kutaja makandarasi
 
Unaanza kurukia nje ya mjadala huu. Ndege imetoka wapi tena? Stick to your gun!
Unasikia ikizungumzia force account wewe unaanza kutaja makandarasi
Kwani hzmuoni?
Nyumba zote zinazojengwa Dodoma wizi mtupu, kwa maoni yenu.
 
Back
Top Bottom