Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali imekamilisha malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu

Ndege no muhimu na lazima zinunuliwe. Air Tanzania ina madudu mengi. Waisafishe. Waweke wataalamu na waache siasa. Faida za hizi Ndege hata wananchi wataziona.
 
Kwan inajengwa bila mkopo? Kaangalie upya huo mradi
 
Asante sana PM Majaliwa,nina6amini kabisa 2025 wewe ndo rais wetu,naomba iwe hivyo ,Mungu akubariki sana
Kwanini unamweka Mungu hapo? Si ungetoa tu maoni yako au usubiri tu hiyo2025 upige kura yako na kuisindikiza na hayo matumaini yako?
 
Only in Tanzania kuna this level of incompetence. Pamoja na madudu yote, bado wang'ang'ana na ndege.
Hivi utaingiaje uchumi wa kati bila kuwa na national airline! Uchumi wa kisasa unahitaji pamoja na mambo mengine ndege za abiria na mizigo. Marehemu aliona mbali sana.
 
Ingekuwa kodi mnalipa wenyewe ambao mnataka hizo ndege zinazoleta hasara basi asingelalmika mtu. Shida ni hela zetu sote alafu tunaona zatumika kwenye mahali si pa vipaumbele kwa mtanzajia wa leo.
Alafu tambua kila kitu kina faida na hasara ila lazima kupimwe hasara zake kwa jana leo na kesho..
Ukija na fact kuwa zina faida yake basi tambua hasara zipo pia . Shida inakuja pale hasara inapo zidi faida kwa muda usiokoma.
Uwazi upo hatukujipanga na swala la hiyo mindege vema alafu hapo hapo tunaacha mambo ya msingi yenye uhitaji kwa mtanzania
 
Sasa unauhakikagani kama Jpm alikataa, ama ndio marehemu hana haki?.

Kwanini kumsingizia marehemu, muwe mnapima nanyie sio kubugiatu kilakitu mtakujakulishwa matango pori.

R.I.P Jpm.
 
MagwufooL huko ulipo maamuzi yako ya ki.puuzi sana uliyoyafanya wakati wa UHAI wako bado yanaligharimu taifa sasa na vizazi vijavyo. You dont even deserve to rest in peace
 
Nyerere mwenyewe alianzisha shirika la ndege la ATC hakuwa mjinga.
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji119][emoji119]
 
Na upanuzi wa International Airport ya Chato nao uendelee kwa kuongeza terminal mbili mpya na Runaway moja.
 
Kuna biashara gani yenye faida siku zote hapa duniani. Nitajie
 
Sidhani kama uko sahihi kwa hitimisho hili, biashara ya ndege inahitaji uwekezaji mkubwa na faida huwezi kuiona katika muda mfupi, aidha ununuzi wa ndege unategemea unataka kuhudumia 'Route' gani. Kwa sasa ATCL ina 'Route' ya Kati ya India na baadaye ndefu ya China ambayo ilikuwa ianze 20/03/2021 ikasitishwa.

ATCL imewahi kupeleka Airbus kwenye 'Route' ya Mumbai mara kadhaa lakini kuna wasafiri walilalamikia kitendo hiki wakati fulani kwani mteja ni mfaume, na kumbuka unapoomba 'Route' ni lazima utumie ndege inayofanana na mahitaji ya 'Route' hiyo.

Pamoja na yote yanayoendelea ATCL kwa sasa inaenda vizuri katika kipindi hiki cha uwekezaji na nathubutu kusema kuwa wataimudu hii biashara wakiendelea kuwa makini.
 
Asilimia ya ndege kutangaza nchi ni ndogo sana, kuna njia nyingi za kujitangaza! Kenya wapo vizuri zaidi kwenye matangazo, Kiswahili na uswahili unakwamisha mambo mengi pia! Hii video ina Mtu mwenye pengo anacheka, labda anawacheka Zito na wapinzani wenzake, lakini angekua na meno yote nafikiri ingefaa awacheke na walio kurupuka kununua ndege kutokana na ushauri wa watu mnao wadharau!
 
Narudia tena Serikali hii imejaa waongo tena waongo wakubwa sana. Majaliwa anadai malipo yameshakamilika lakini hajaweka ushahidi hadharani kuonyesha kukamilika kwa malipo hayo. Sasa kutaka ushahidi huo uwekwe hadharani ni politics? 😳😳
Wafute tu hiyo nafasi ya CAG kwani haina umuhimu wowote kama ripoti yake inadharauliwa kiasi hiki. Haina thamani tena kwa hawa wahuni ndani ya Serikali.




CAG ameshakupa investment costs za ndege, model of ATCL financing kati yake na serikali. Kama upo interested na business viability ya ungetaka kuona financial statements ya shirika na supplementary informations za kwenye notes how exactly does their expenses breakdown na kama zinaweza punguzwa. Their business strategy etc kuona shirika linaenda mbele vipi.
 
Asante sana PM Majaliwa,nina6amini kabisa 2025 wewe ndo rais wetu,naomba iwe hivyo ,Mungu akubariki sana
Labda kupitia chama cha DP, ccm ilishakufa na 2025 inakwenda kuzikwa rasmi na mindege yake,japo hiyo tenda ilishakamilika hata kabla meko hajalala wacha zije tu tuongeze parking
 
Mkuu una uhakika na hizo 12trillions?
Hebu tupatie kaushahidi tuone.
 
Basi CAG ni muongo na hana uelewa kuliko wewe, napendekeza wew ndiye uwe CAG.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…