Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Usiwe kilaza, elewa mada kwanza.Hakuna cha nguvu ya soko wala nini kinachoendelea kwa sasa ni profiteering.
Ceteris Paribus, costs bado zile zile na wazalishaji waliobaki wanauza bei ile ile kwa suppliers.Usiwe kilaza, elewa mada kwanza.
Sekta binafsi ndio corner stone ya uchumi, hakuna mchawi hapa, kodi ni nyingi, kodi ni kubwa na regulations ni nyingi hivyo watu wanahangaika na ku comply nazo kukwepa fine (hawawekeze akili zao kwenye kutafuta biashara), Corona imeleta tatizo kubwa, kunatakiwa hatua kubwa kuchukuliwa, uchumi wa dunia umeunganika, ila Afrika mkopo imekua na riba kubwa kushinda China, Europe na USA hivyo mfanya biashara wa TZ anashindwa kushindana na wa nchi nyingine.
Mkuu naona somo la Economics kwako ni wimbo wa kichina.Ceteris Paribus, costs bado zile zile na wazalishaji waliobaki wanauza bei ile ile kwa suppliers.
Sasa kwanini wao wapandishe kutokana na shortage, simple it’s ‘profiteering’
Serikali makini aiwezi fumbia macho utaratibu huo wa soko.
Supply and demand is elementary economics kila mtu anajua shortage in supply causes prices to increase.Mkuu naona somo la Economics kwako ni wimbo wa kichina.
Restrict supply for a commodity in demand, price goes up.
Increase supply for a commodity in demand, price goes down.
Production costs bado ni constant.
Simplicity ni hallmark of geniuses.Supply and demand is elementary economics kila mtu anajua shortage in supply causes prices to increase.
But governments look further if they want their market to be stable ndio maana kuna tools za kutumia kama price ceiling and price flows ku control influence in the commodity market for the most part
We utakuwa sehemu ya hao walanguzi ambao mnaona fursa tu.Price ceiling wakati kuna high demand nikukaribisha bkack market.
It not tenable, na hapo itabidi commodity iuzwe na polisi.
Thats not a fact.We utakuwa sehemu ya hao walanguzi ambao mnaona fursa tu.
Why then defend unjustifiable price increase, wakati cost za supplier hazijaongezeka?Thats not a fact.
Its your opinion, and a wrong one.
Nimekushauri, ushauri mdogo tu, fuata principles za Economics. Flood the market to quell the high demand.Why then defend unjustifiable price increase, wakati cost za supplier azijaongezeka?