Waziri Mkuu Majaliwa, Wahudumu wa Ndege ya Precision Air wanasema Wao ndiyo Walifungua Mlango. Huyu Muokoaji ‘Majaliwa’ aliufungua upi?

Waziri Mkuu Majaliwa, Wahudumu wa Ndege ya Precision Air wanasema Wao ndiyo Walifungua Mlango. Huyu Muokoaji ‘Majaliwa’ aliufungua upi?

"Majaliwa ni kijana wetu wa Chama pale Ofisini".

Hayo ni maneno aliyoongea Katibu wa CCM wa mkoa wa Kagera.

Dr. GENTAMYCINE sikiliza kuanzia dakika ya 3:10 hadi 3:38
 
We chizi eeh, wahudumu wawili wamepona kwenye ile ajali.
Halafu ninavyomdharau anaona namuonea. Angekuwa Mjanja angeuchuna tu badala yake anataka kuleta Ligi nami mjua Ligi hivyo sasa namnyoosha tu.
 
Halafu ninavyomdharau anaona namuonea. Angekuwa Mjanja angeuchuna tu badala yake anataka kuleta Ligi nami mjua Ligi hivyo sasa namnyoosha tu.
Jadili vitu vya manufaa kwa nchi kama hivi. Siyo na Degree yako unabishania kufungua mlango. Ni akili ya mwendawazimu tu itafikiria huo utoto.

American Businessman and Microsoft owner Bill Gates is in Kenya, where he will hold a series of public engagements
FB_IMG_1668499474090.jpg
 
Naona hapa wala Hujatukana Mkuu. Hongera na ningeandika Mimi ungekimbilia kwa Moderators Ili nipewe BAN ila imekuwa ni tofauti.

Ngoja nisubirie Jibu kutoka kwa huyo Member uliyemtukana hivyo kwani namjua kuwa nae ni Miongoni mwa Warithi wangu wa Majibu Umiza na ya papo kwa hapo.
Wewe JF wana kulea. Unafaa upigwe ban za kutosha. Umri wako siyo kutukana kila mtu hapa. Ww ni mature.
 
Jadili vitu vya manufaa kwa nchi kama hivi. Siyo na Degree yako unabishania kufungua mlango. Ni akili ya mwendawazimu tu itafikiria huo utoto.

American Businessman and Microsoft owner Bill Gates is in Kenya, where he will hold a series of public engagementsView attachment 2417318
Kwani Wewe umezuiwa Kulijadili hilo?
 
Back
Top Bottom