Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,266
- 8,085
read the initial post. ni hatari sana kudandia gari kwa mbeleFact sio kufungua mlango bali kuokoa abiria wengi.
Kitendo cha kuokoa abiria wote wale ni jambo la kishujaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
read the initial post. ni hatari sana kudandia gari kwa mbeleFact sio kufungua mlango bali kuokoa abiria wengi.
Kitendo cha kuokoa abiria wote wale ni jambo la kishujaa.
Ishu walioshiriki ni wengi kwann awe yy peke yake?? Alizimia, haya aliokolewa na nani??Tuache wivu wakuu, huyo dogo bahati yake tusiilalie mlango wazi kwa hali yeyote hata kama hajafungua yeye basi ameshiriki kuokoa watu hilo linatosha kuutambua msaada wake.
We chizi eeh, wahudumu wawili wamepona kwenye ile ajali.Mhudumu gani alie pona kwenye ajali ya ndege? Ebu punguzeni uongo
Sasa ukindika kwa lugha nzuri uta pungukiwa nini?We chizi eeh, wahudumu wawili wamepona kwenye ile ajali.
Halafu ninavyomdharau anaona namuonea. Angekuwa Mjanja angeuchuna tu badala yake anataka kuleta Ligi nami mjua Ligi hivyo sasa namnyoosha tu.We chizi eeh, wahudumu wawili wamepona kwenye ile ajali.
Jadili vitu vya manufaa kwa nchi kama hivi. Siyo na Degree yako unabishania kufungua mlango. Ni akili ya mwendawazimu tu itafikiria huo utoto.Halafu ninavyomdharau anaona namuonea. Angekuwa Mjanja angeuchuna tu badala yake anataka kuleta Ligi nami mjua Ligi hivyo sasa namnyoosha tu.
Kama 'Ulivyotobolewa' Wewe Mkuu au?Acheni wivu mazee majaliwa ashatoboa,,
Wewe JF wana kulea. Unafaa upigwe ban za kutosha. Umri wako siyo kutukana kila mtu hapa. Ww ni mature.Naona hapa wala Hujatukana Mkuu. Hongera na ningeandika Mimi ungekimbilia kwa Moderators Ili nipewe BAN ila imekuwa ni tofauti.
Ngoja nisubirie Jibu kutoka kwa huyo Member uliyemtukana hivyo kwani namjua kuwa nae ni Miongoni mwa Warithi wangu wa Majibu Umiza na ya papo kwa hapo.
Mbona huitaji na MAMC yangu? au huna?Hata BAMC yako haiwezi saidia nchi. Kazi kujadili utumbo tu.
MAMC gani uko mweupe kichwani utadhani YAI.Mbona huitaji na MAMC yangu? au huna?
Lile Yai unalovunjiwaga kila Siku au?MAMC gani uko mweupe kichwani utadhani YAI.
Kwani Wewe umezuiwa Kulijadili hilo?Jadili vitu vya manufaa kwa nchi kama hivi. Siyo na Degree yako unabishania kufungua mlango. Ni akili ya mwendawazimu tu itafikiria huo utoto.
American Businessman and Microsoft owner Bill Gates is in Kenya, where he will hold a series of public engagementsView attachment 2417318
Kwahiyo ndio ww ujaze JF servers na mada za milango na BAMC isiyo na kichwa wala miguu[emoji1787][emoji1787]Kwani Wewe umezuiwa Kulijadili hilo?